Mtaji wa Sh. Mil 5 unafaa kwa biashara gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaji wa Sh. Mil 5 unafaa kwa biashara gani?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Loy MX, Mar 30, 2012.

 1. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni mnisadie kwa hili.
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Nunua bodaboda 3 wape vijana boda moja kwa siku ni tsh 6000 mara 3=18000, ndani ya miaka miwili utakua umetengeneza faida ya m 7.
   
 3. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  akhsante mkuu kwa ushauri wako
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama upo maeneo mazuri anzisha huduma ya MPSA inalipa sana kama ukishindwa MPSA anzisha duka la kuuza mitungi ya gesi nayo inalipa but depending with your location kama upo kwetu mkoa mpya wa Katavi biashara ya mitungi ya gesi hapo haina nafasi maana bado tuna misitu minene kwa hiyo tunatumia mkaa kwa sana
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni biashara nzuri lakin inaitajika kwa mtu muaminifu kweli kweli otherwise atakula hasara,m5 unapata boda boda nne,kwa siku unaingiza 24 kwa wiki 144k kwa mwezi 576 kwa miaka miwili ni mil 13 na laki 8 na elfu 24,tkuitoa hizo laki 8 na ushee kwa miaka mi2 unatengeneza faida ya million 13:::inahitaji mtu muaminifu kweli kweli.
   
 6. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii biashara kichefuchefu,tokea lini umeona bodaboda yenye namba A__ zote zinaanzia B___,kaka mchina hafiki miaka miwili hiyo kwa hawa madereva wetu

   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  hardly miezi sita baada ya hapo nimatatizo matupu. Usisahau kuibiwa na usumbufu wa vijana.
   
 8. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  sidhani kama biashara ya bodaboda ina complications ktk management,so wewe unachofanya nni kuweka kiwango unachotaka kwa wiki,kama kijana hatodeliver unamtosa.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  True ndio maana hili kuavoid kutosa tosa madereva bora upate kijana muaminfu ili mambo yaende vizuri.
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Heri anunue bajaj...itadumu zaidi na itamlinda zaidi pia!
   
 11. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nipo tabata Segerea. nadhani hii ya boda boda itakuwa nzuri.
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wekeza kwenye kilimo kwanza
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Mjasiriamali Wa kweli hawezi uliza swali Kama hili, wazo la biashara hutangulia kabla a fedha, kuna watu Wengi sana ambao akipata hata Laki moja in mind Anakuwa anajua exactly atakachofanya!
   
 14. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Mjasiriamali Wa kweli hawezi uliza swali Kama hili, wazo la biashara hutangulia kabla a fedha, kuna watu Wengi sana amber akipata hata Laki moja in mind Anakuwa anajua exactly atakachofanya!
   
 15. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Milioni Saba Sio faida, faida ni 2m. Management ya bodaboda ni Ngumu sana! You must choose kitu unachoweza kusimamia.

   
 16. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sijawahi kufanya biashara yoyote ndo maana nimekuja kuomba ushauri humu. Naomba tuelewane.
   
 17. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  WATANZANIA TUNAPENDA SANA BIASHARA RAHISI NA ZISIZO HITAJI AKILI KABISA, BIASHARA YA BODABODA INAFANYWA NA WATU AMBAO WAMEFIKIA MWISHO WA KUFIKILIA NA AMBAO NA WAVIVU WAKUTUMIA AKILI

  - Kwa magreat thinker kuja na wazo la Bodaboda ni kitu cha ajabu sana, ni kwa nini tusipende kuwekeza katika miradi yenye tija kwa taifa hili

  1. Kwa nini si miradi yenye tija kwa taifa hili?

  2. Kwa nini si uwekezaji ambao hata watu wa nje watatamani kufanya na wewe kazi?

  3. Hii biashara si sustainable hata kidogo na sijui mtu mwenye hii biashara huwa anaplani niniu mbeleni

  - Anzisha biashara ambayo miika kumi ijayo itakuwa ni biashara kubwa sana ndani na nje ya nchi hii,

  - Watanzania utakuta mtu ana gest house moja ana Bodaboda tatu, ana kibanda cha simu na vocha, sasa mtu kama huyi sijui huwa anataget nini kuja kuwa vipi,

  -HII DUNIA NI YA USHINDANI MKUBWA SANA NA KWA SASA ATAKAYE SAVAVIVE NI MTU ANAYE KUWA NA IDEA ILIYO ENDA SHULE, JARIBUNI KUTEMBELEA African Report muone vijana wa nchi zingine mawazo yao ya biashara, huwezi kuta vuijana kama wakule NIGERIA WANAPEANA USHAURI WA BODABODA HATA SIKU MOJA,

  Nilizama Aidea ambayo hata ukiitwa kwenda kupresent mahali watu wanakuna vichwa na kukuona wewe ni mtu mwingine kabisa, sasa unaitwa unaenda kupresent Bajaji na Bodaboda utaonekana wa ajabu sana
   
 18. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  wewe nae,mbwembwe nyingi wkt haujamshauri kitu si afadhali hao wa boda boda,wewe huna idea umeishia kulaumu tu....
   
 19. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280


  Hapa ni kudanganyana tu, mimi niko Arusha jamaa yuko Darmimi nimpe aidea gani? Nafahamu vipi mazingira ya Dar? najua vip triends yahuko Dar? hapa tufanya business aidea sawa na utabili wa hali ya hewa.

  - Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,

  1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?

  Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
  - Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani hiyo wakati nibiashara ipo na inafanwa na watu kibao? wewe leo huwezi anzisha Duka la kuuzaVocha halafu ukaanza kutamba kwamba una Aidea nzuri,

  NA THE BEST BUSINESS AIDEA NI UNAYO FOMULATE MWENYEWE, NA SI YAKUTABILIWA KAMA BAHATI NA SIBU, NCHI KAMA MAREKANI AMBAYO ILIANZA MIAKA MIAKAZAA ILIYO PITA STILL BADO KUNA AIDEA ZA KUFA MTU SASA

  - MTU KAMA HUWEZI KUJA NA WAZO LAKO ZURI LA BIASHARA HUTAWEZA HATAKUSIMAMIA BIASHARA YAKO, TUNAKWEPA SANA KUUMIZA VICHWA THAT IS WAHY

   
 20. U

  U'MUTAMA Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....
   
Loading...