cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,612
- 137,279
Hapa uko sahihi sanaaaah, achukue hili wazo lako.Nenda kariakoo ukatandaze nguo/sandals chini hukosi pesa pale ili mradi tu ujue kuchagua bidhaa quality na bei iwe rafiki. Hiyo pesa yako usijiloge ukafanya biashara inayohusu kukodisha frem 1.2M ni hela ndogo sana kwa biashara inayohusu frem.
Pia ni hela nyingi snaa ukiamua kufanya umachinga smart, utapiga hela mtaji utaongezeka na utapata idea nyingine kubwa ukiwa humo. Cheers.