Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Jitazame wewe mwenyewe una kipaji gani mfano ususi / mapishi then anzisha biashara kutokana na kipaji ulichonacho hii itakusaidia kupunguza changamoto ndogo ndogo zinazoweza kujitokeza kama vile usimamizi n.k
 
Habari zenu wapendwa mimi ni binti wa miaka 23 naombeni ushauri wa kimawazo nipo Dar es salaam nina mtaji wa million 1 na laki 2

Lakini kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa nifanye nini nisaidieni jamani kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani?
Tafuta frem ya 50elfu sehmu ynye kuelewek kidogo ulipe miezi mitatu, fungua jiko kubw chips mishkaki na nyama za kuku! ukibaki na 30elfu nambie tuloge uuze kwa amani..! :)
 
Mzee 300 tu hii bei ya tabata
Kule ndizi hata 400 unauza cha msingi aweke hilo goli kwenye hali ya usafi
Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.

Muhimu ni ile service experience iwe bomba usafi na kauli nzuri. Aombe place kwenye frame ya mtu kwa nje afanye kazi. Naamini ndani ya miezi kadhaa atakuja kuleta mrejesho.
 
Ewalaa..!
 
Hili ntalifanyia kazi ubarikiwe
 
Nenda Kariakoo ukatandaze nguo/sandals chini hukosi pesa pale ili mradi tu ujue kuchagua bidhaa quality na bei iwe rafiki. Hiyo pesa yako usijiloge ukafanya biashara inayohusu kukodisha frem 1.2M ni hela ndogo sana kwa biashara inayohusu frem.

Pia ni hela nyingi snaa ukiamua kufanya umachinga smart, utapiga hela mtaji utaongezeka na utapata idea nyingine kubwa ukiwa humo. Cheers.
 
Another idea nenda pale pale kariakoo tafuta jiko weka kwenye toroli choma mishkaki na ndizi uza jerojero zingatia usafi. Ukiweza tafuta na mashine na juice ya miwa weka karibu piga pesa cha muhimu usafi tu.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom