Mtaji wa milioni 1 na laki 2 naweza fanya biashara gani Dar es Salaam?

MUNDENDE

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
812
1,000
Nenda Kariakoo ukatandaze nguo/sandals chini hukosi pesa pale ili mradi tu ujue kuchagua bidhaa quality na bei iwe rafiki. Hiyo pesa yako usijiloge ukafanya biashara inayohusu kukodisha frem 1.2M ni hela ndogo sana kwa biashara inayohusu frem.

Pia ni hela nyingi snaa ukiamua kufanya umachinga smart, utapiga hela mtaji utaongezeka na utapata idea nyingine kubwa ukiwa humo. Cheers.
 

MUNDENDE

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
812
1,000
Another idea nenda pale pale kariakoo tafuta jiko weka kwenye toroli choma mishkaki na ndizi uza jerojero zingatia usafi. Ukiweza tafuta na mashine na juice ya miwa weka karibu piga pesa cha muhimu usafi tu.
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
18,544
2,000
Nenda kariakoo ukatandaze nguo/sandals chini hukosi pesa pale ili mradi tu ujue kuchagua bidhaa quality na bei iwe rafiki. Hiyo pesa yako usijiloge ukafanya biashara inayohusu kukodisha frem 1.2M ni hela ndogo sana kwa biashara inayohusu frem.

Pia ni hela nyingi snaa ukiamua kufanya umachinga smart, utapiga hela mtaji utaongezeka na utapata idea nyingine kubwa ukiwa humo. Cheers.
Hapa uko sahihi sanaaaah, achukue hili wazo lako.
 

MUNDENDE

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
812
1,000
kwani biashara zote za frem zinazid 1.2ml? we elezea namna ya wazo lako lilivyo usipangue hoja ya biashara niliyomshauri! mm nime deal nayo na najua kiasi fulani faida inavyopatikana.
Mkuu hakuna sehemu nimepangua hoja yako kaka ukiangalia vizuri sijaquote ujumbe wako. Nimetoa ushauri wangu kulingana na uzoefu.
 

salum palahingwe

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
496
1,000
Mkuu hakuna sehemu nimepangua hoja yako kaka ukiangalia vizuri sijaquote ujumbe wako. Nimetoa ushauri wangu kulingana na uzoefu.
Thibitisha kama 1.2ml ni pesa ndogo kwa biashara ya frem bro? au tushauri kwa nii tusitumie biashara hyo kwa mtaji wa pesa hii..
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,361
2,000
Naona imekuwa league, wenye uelewa wa biashara wamenielewa.
Mkuu wamekuchangia nini ukaona isiwe tabu😀 Kwa Dar kupata frem sehemu iliyochangamka si chini ya 200k Kwa mwez kama Kodi, chini ya hapo labda ubahatishe Ka frem kadogo na penyewe ni mbinde kupata au achongeshe Banda dogo la 400k Zaid ya hapo Kwa Kodi za 50K sjui 80K atapata sehemu miyeyusho , na hapo watademand Kodi walau miez mitatu minimum ,. + Hela ya mlinzi+ hela ya umeme ...

Atajikuta amebakiwa na 500K sasa ndo ujiulize hyo 500k hapo sjagusia Harmashauri+ TRA + Dalali+ balance ya naul na vitu vidogo vodog ....Kwa hyo hela utanunua mzigo gan kuweza kurun hyo frem ....?? Ushaur wako umekaa poa sana
 

MUNDENDE

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
812
1,000
Mkuu wamekuchangia nini ukaona isiwe tabu Kwa Dar kupata frem sehemu iliyochangamka si chini ya 200k Kwa mwez kama Kodi, chini ya hapo labda ubahatishe Ka frem kadogo na penyewe ni mbinde kupata au achongeshe Banda dogo la 400k Zaid ya hapo Kwa Kodi za 50K sjui 80K atapata sehemu miyeyusho , na hapo watademand Kodi walau miez mitatu minimum ,. + Hela ya mlinzi+ hela ya umeme ... Atajikuta amebakiwa na 500K sasa ndo ujiulize hyo 500k hapo sjagusia Harmashauri+ TRA + Dalali+ balance ya naul na vitu vidogo vodog ....Kwa hyo hela utanunua mzigo gan kuweza kurun hyo frem ....?? Ushaur wako umekaa poa sana
Hahaha nimewapuuza tu mkuu hawajui wanaloandika, nashukuru kwa kufafanua japo wapate mwanga.

Binafsi sijaona umuhimu wa kuwafafanulia nimeona hawajui uhalisia wa biashara ila mwenye akili anaelewa nilichoandika kinaendana na hali halisi ya biashara zinavyofanyika.
 

salum palahingwe

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
496
1,000
Hahaha nimewapuuza tu mkuu hawajui wanaloandika, nashukuru kwa kufafanua japo wapate mwanga.

Binafsi sijaona umuhimu wa kuwafafanulia nimeona hawajui uhalisia wa biashara ila mwenye akili anaelewa nilichoandika kinaendana na hali halisi ya biashara zinavyofanyika.
Naona umepata nguvu mkuu. 😁 ! changamoto tuu, kila mtu anauelewa wake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom