Mtaji wa milioni 1 na laki 2 naweza fanya biashara gani Dar es Salaam?

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
4,729
2,000
Sawa unahitaji ushauri

Lakini hilo eneo ulipo unaona kuna vitega uchumi gani uanze navyo?
 
Nov 16, 2016
30
125
Jitazame wewe mwenyewe una kipaji gani mfano ususi / mapishi then anzisha biashara kutokana na kipaji ulichonacho hii itakusaidia kupunguza changamoto ndogo ndogo zinazoweza kujitokeza kama vile usimamizi n.k
 
salum palahingwe

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
521
1,000
Habari zenu wapendwa mimi ni binti wa miaka 23 naombeni ushauri wa kimawazo nipo Dar es salaam nina mtaji wa million 1 na laki 2

Lakini kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa nifanye nini nisaidieni jamani kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani?
Tafuta frem ya 50elfu sehmu ynye kuelewek kidogo ulipe miezi mitatu, fungua jiko kubw chips mishkaki na nyama za kuku! ukibaki na 30elfu nambie tuloge uuze kwa amani..! :)
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
36,657
2,000
Mzee 300 tu hii bei ya tabata
Kule ndizi hata 400 unauza cha msingi aweke hilo goli kwenye hali ya usafi
Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.

Muhimu ni ile service experience iwe bomba usafi na kauli nzuri. Aombe place kwenye frame ya mtu kwa nje afanye kazi. Naamini ndani ya miezi kadhaa atakuja kuleta mrejesho.
 
dingihimsel

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
9,119
2,000
Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.

Muhimu ni ile service experience iwe bomba usafi na kauli nzuri. Aombe place kwenye frame ya mtu kwa nje afanye kazi. Naamini ndani ya miezi kadhaa atakuja kuleta mrejesho.
Ewalaa..!
 
Laufelix

Member
Jan 9, 2021
25
45

Hili ntalifanyia kazi ubarikiwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom