Son of Africa
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 233
- 31
Nipe cv yako nikushauri ipasavyo. Mimi ni mtaalamu aliyebobea biashara na uchumi
Soma thread ya jamaa mmoja yeye alikuwa na 3m huenda michanganuo ilio tolewa itakufaaMimi ni mfanyakazi wa Serikali nipo Mbeya, nina elimu ya degree ya sheria, ila ninafanya kazi tofauti na sheria, hivyo kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nikope bank ili niweze kuanzisha biashara kwa ajili ya kuongeza kipato.
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
Wakuu mimi ni kijana wa Umri wa Miaka kama 30 hivi, Najua nimechelewa kutoka, Ila ni kutokana na kutokea kwenye familia ya kawaida sana. Sasa wakuu nimejichanga changa nimesave kama ka-milioni na taka kufanya jambo niongeze kipato.
Mnanishauri nifanye nini?
Msaada jamani nataka kufanya biashara nina 1m. Sijui nifanye biashara gani?
Mkuu kwanza unatakiwa kuwa na idea yako ya biashara. Mimi nadhani kama unataka kusaidiwa, nivizuri kutaja biashara ambayo ungeipenda kuifanya, hapo utasaidiwa mawazo mazuri.
jaman mi nina wazo la biashara ya mtandao,ni biashara kubwa yenye hadhi ya kimataifa na mtaji wake mdogo hata 1m haifiki.binafsi naifanya na nimeona faida zake.kwa vijana wenye ndoto za mafanikio na wapo tayari kufanya kaz tutafutane.0715720276