Ndo nani!? Ye ni tajiri!?Kweli aisee, amuone the list ana idea za awamu hii, hata mm nitamtafuta
Ni mzuri!?Anaifanya mke wangu...kikubwa nikuplan eneo lako vizur,unapiga pesa za duka,za bia,chips na supu
Ndio mtaalamu wa ujasiriamaliNdo nani!? Ye ni tajiri!?
Yaani wewe agh ! nimecheka kama chizi.Mimi niko Korea kaskazini mkuu huku biashara ya silaha za nyukilia inalipa sana kama vipi tuunganishe mtaji tupige hii mishe.
aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
Ni kuuza juice mkuu sema kwa sasa haka ukabarid ndio ina cost hivy ila aka ka msimu kakipita mambo yatakua supercapital 150, faida 300 baada ya kutoa gharama. Cost zake ni sh ngapi? Inavutia sana hii bzne. Hebu nitonye ni bz gani niweke huo mzgo leo hii hii.
Mtwara nkuu, ila home ni mwanzaSijakuelewa mbona
Serious Mkuu au unataniaMkuu ungejaribu kubet....ni biashara nzuri sana
Unapatikana wapi nanitaamini vipi kuwa hautanitapeliNipe m1tuu...baada ya mwezi nikurudishie m2..kisha nikufundishe biashara gani niliyoifanya ikaniingizia more than 2m.
Uwe muangalifu.Unapatikana wapi nanitaamini vipi kuwa hautanitapeli
Asante mkuuUwe muangalifu.
we mtu umejua nichekesha..khaaMimi niko Korea kaskazini mkuu huku biashara ya silaha za nyukilia inalipa sana kama vipi tuunganishe mtaji tupige hii mishe.
aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!