Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Mkuu, Tulia kwa Makini fanya tafiti hapo mtaanu kwako au jamii inayokuzunguka iko na Tatizo gani , Afu we njoo na Solution ya tatizo hilo (Njia moja wapo wa kutafuta business Idea Endelevu)
Ukiweza kufanya hivyo miaka mitano baadae utakuwa mbali sana
Mkuu,acha upande wa mtaani kwangu sijaona biashara ya kufanya na ukija ktk mazingira ninayo enda patia ridhki yangu ni mazingira kwa biashara ya spare ya magar ni ngumu coz nilishawah fanya na ndo maana nikaja huku mkuu
 
Kukopesha kwa riba ni biashara pia.
Mkuu, mie nikopeshe Million 1 kwa riba ya 20% per month.

-Kaveli-
 
Kaweke fixed deposit kwa muda utakaoupenda huku unazsaka zngn na kutafuta business idea ya kuanzia.
 
Kaweke fixed deposit kwa muda utakaoupenda huku unazsaka zngn na kutafuta business idea ya kuanzia.
Sasa ndio ume shauri nn? akaweke fixed ili pesa yake ikatumiwe na wengine, watu tume anza biashara na mtaji wa laki 1
 
Sasa ndio ume shauri nn? akaweke fixed ili pesa yake ikatumiwe na wengine, watu tume anza biashara na mtaji wa laki 1
Kwn fixed co biashara?, km ww ulianza na kilo na ukatoboa haimaansh mwnzio atatoboa hvyhvy, ye mpk anakuja kuuliza huku unajua ni kwnn anafny hvy whl ana mtaji mnono, fixed atajhkkshia return mzr.....
 
Habari zenu wadau....
Kutokana na hali ya uchumi inayoendelea sasa nimeona nifanye biashara ya aina yoyote ya kuongeza kipato changu nje ya kazi niliyonayo sasa, kiasi nilichonacho ni one million (1,000,000tzs)
Ni idea Hipi ya biashara inayoweza kulingana na mtaji wangu.
Karibuni.
 
Hope mko salama salimini wadau..

Jamani sijawahi kufanya biashara yoyote toka kukuwa kwangu zaidi ya kazi za kuajiriwa.
Sasa nina kamtaji ka 3,500,000/= lakini kila nikitafakari kukazungusha kwenye biashara, nachelea sana kujiaminisha ni biashara gani hasa ya kufanya.
Hivyo wadau naombeni ushauri wenu ni kibiashara gani naweza kuzungushia hiki kimtaji...?

Note: Naishi dar.

Serious advice needed.
 
Habari zenu wana JF samahan kwa usumbufu naomba kuuliza au ikibidi kushauriwa kabisa,
mara nyingi najiuliza kutokana na mabadiliko ya uchumi yalivo sasa hivi ,je hivi nibiashara gani ambayo mtu anaweza kuifanya jijini dar es salaam japo kwa mtaji wa mil.2..?.,Ushauri wenu tafadhali
 
Bit Club Advantage is a company formed by professional and experts in sports trading. Sports trading is the buying and selling of quotes at a certain moment during a sports event. Bitclub does it's sports trading through a platform called Betfair and make transaction worth 300 Billion tshs daily.
Bitclub Advantage does on sports trading on behalf of its members and shares with them the profits.

The packages are as follows
8. Clint Partner: 25$ earn, 1.4$ per week, 4.40$/month.
9. Client Basic : 50$ earn, 2$/week, 8.80$/month
10. Client Bronze :99$ earn, 4.95$/week, 21.78$/month
11. Client silver :249$ earn,13.70$ /week, 60.26$/month
12. Client Gold: 499$ earn, 29.94$ /week, 131.74$/month.
13. Client Premium :999$ earn, 59.94$ /week, 163.74$ /month
14. Client Black : 1999$ earn, 139.93$ /week, 615.59&/month

Charges per month is less than 2.6% for each package
I invite you all to bitclub Advantage group. This is a group of entrepreneurs who are looking for opportunities to get rid of through network marketing.
For those who already have invested in other opportunities this also other platform developing your dream of harvesting money even when you are asleep.
Register here Bitclub Advantage. For more information WhatsApp me 0743259149
 
Hodi hapa jamvini.
Jamani mie ninaomba tuchangie mawazo, na wazo litakalokubarika...ninaahidi kumlipa kiasi cha asilimia 10 ya mtaji nitakaopatiwa.

Story iko hivi, baada ya kuchoka kuombwa pesa ya matumizi kila leo, shemeji yenu kanipa challenge. Kanambia anipe mtaji nifanye biashara. Nimempatia mawazo ya biashara niliokuwa nayo, kwa mfano kuuza nguo za ndani za kina mama, ama biashara ya chakula (restaurant ndogo) lakini naona yote ameyakataa....huenda sikumfafanulia vyema hadi awe convinced na mawazo yangu.

Ameahidi kunipatia mtaji wa Tsh 2M hadi 5M kulingana na ubora na uzito wa biashara yenyewe. Nami nimeona...kwa kuwa ukitaka kula sharti uliwe...basi naileta kwenu hoja hii...yeyote atakaenipatia wazo bora la kufanya biashara..... na shemela wenu akalikubali...basi ntarudi jamvini na kumpatia kiasi cha pesa ambayo itakuwa 10% ya capital nitakayopewa.

Kumbuka utoapo wazo hilo, suggest pia na mchanganuo wake ili kujulikana naenda kukomaa nipewe kiasi hicho cha mtaji.... I promise to keep my word....lakini pale tu litakapokubalika. Na ningependa nifanikiwe mwezi huu asije badili mawazo.
 
Back
Top Bottom