Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Chagua location nzuri fanya kuuza consumable goods. Nafaka kma ngano,mchele na sembe kwa rejareja tafuta supplier mzur atakae kuuzia bei poa..na tambi pia soon zinakuja kuwa deal
 
Me idea niko nayo ni kilimo. Na kwa sasa time bhado. Mkuu
Kama alivyozema shamba kama unalo bt ider milion 3 titiki maji za jumla jumla tafuta mashambani bwagamoyo au tanga cjui yanapatkana uliza wap then fuso moja lete mjini kwa raman za wateja unafka leo mzgo unamaliza Kazi kwako masoko ndo muhmu ujue wateja wako m 3 utatokaa
 
Hivi mkuu hii biashara kwa Dar na ile ya bajaj ipi inalipa? Per day mzigo wa boss bei gani?
Pikipiki kwa siku 7000,kwa week 40,000-50,000 kwa jinsi mtakavyokubaliana.
Bajaji 15,000-20,000 kwa siku mtakavyokubaliana ila hii biashara ukifanya mwenyewe ndo inafaida.
 
Pikipiki kwa siku 7000,kwa week 40,000-50,000 kwa jinsi mtakavyokubaliana.
Bajaji 15,000-20,000 kwa siku mtakavyokubaliana ila hii biashara ukifanya mwenyewe ndo inafaida.
Naona ni ileile tu ya kote. Kuna mtu hawezi kufanya mwenyewe kutokana na shughuli zake mkuu.

(Sema kwa Dar daladala ndipo penye pesa kwa upande wa usafiri...)
 
Mitumba kazi kwelikweli, biashara hiyo yataka moyo.

Kweli mkuu Mitumba sioo mchezooo
 
Habar wana jamvi
Nipo mwanza wilaya ya nyamaghana karbu na kituo cha mabasi nyegezi, ni mwajiriwa.Nina mdogo wangu form four failure aliniomba mtaji na wazo la biashara nikamwambia siwez msaidia kama yy mwenyewe hajaonesha nia ya kujisaidia nikimaanisha kwamba awe na kianzio kabla hajaniomba msaada.Bas baada ya kumwambia hvyo mdogo wangu huyu wa kike akajitoa na kuamua kufanya kaz za ndani kama hausigel kwa muda wa mwaka na akawa na saving ya kama laki tano,akaja kwangu na kuniambia tayar ana kianzio hvyo nmsaidie wazo la biashara.Nliichukua hela yake nkaongezea na laki tano yangu kama msaada kwake ikatimia milioni moja na mpaka sasa bado nimemuhifadhia fedha hii.
Naja kwenu wana jamvi wenye mitazamo na maono tofauti,je anaweza kufanya biashara ipi?
Asanteni
 
Uyo mdogo wako Ana nia msaidie,..anaweza Fanya iyo iyo kazi ya uahusigeli,yaan anaanzisha kampuni LA usafi majumbani na ofcin watu wengi wauitaj,..hawataki MTU permanently, inaweza toa msaada
 
Back
Top Bottom