Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Ndugu upo wapi?
Tafuta sehemu nzuri
Uanze na glass protecta tuu
Kila mtu anathamini simu yake
Mtaani zinauzwa 5000 sehemu nyingine hadi 10000

Nitakuuzia glass
Glass zote kwa 1500 tu
Tecno zote, samsung , sony, htc, iphone
Na pad zote
Mkuu kwa ml 1
Utapata glass 600 na zaidi
Utaweza kuuza dukani na kutembeza
Kwa siku glass 10 faida ni 35000 au zaidi
Ukitoa matumizi utabakiwa na 25000
Kwa mwezi ni 750000
Utaweza ongeza mtaji kila mwezi kutokana na mahitaji
Mkuu hii ni moja ya biashara yangu i know what am telling you View attachment 488162
Hiiii biashara tamu tokana na maongez yako,,, safii sana
 
wadau nisaidieni kwa kiasi hicho cha mtaji nlichokitaja hapo juu naeza Fanya biashara ya dagaaa nikafaulu??mawazo yenu please
 
Fuga bundi wanalipa sana.Soko lake mi nalijua... kama utakuwa na swali niulize tusaidiane kuzimultiplicate hizo 3mil
 
Ndugu upo wapi?
Tafuta sehemu nzuri
Uanze na glass protecta tuu
Kila mtu anathamini simu yake
Mtaani zinauzwa 5000 sehemu nyingine hadi 10000

Nitakuuzia glass
Glass zote kwa 1500 tu
Tecno zote, samsung , sony, htc, iphone
Na pad zote
Mkuu kwa ml 1
Utapata glass 600 na zaidi
Utaweza kuuza dukani na kutembeza
Kwa siku glass 10 faida ni 35000 au zaidi
Ukitoa matumizi utabakiwa na 25000
Kwa mwezi ni 750000
Utaweza ongeza mtaji kila mwezi kutokana na mahitaji
Mkuu hii ni moja ya biashara yangu i know what am telling you View attachment 488162
Mwezi wa tano mwaka huu mwanzoni ntakutafuta mkuu
 
mkuu naomba nami connection napenda kufany hii biashara fanya Mimi in chinga najua uzoefu tayar ninao
 
Ndugu upo wapi?
Tafuta sehemu nzuri
Uanze na glass protecta tuu
Kila mtu anathamini simu yake
Mtaani zinauzwa 5000 sehemu nyingine hadi 10000

Nitakuuzia glass
Glass zote kwa 1500 tu
Tecno zote, samsung , sony, htc, iphone
Na pad zote
Mkuu kwa ml 1
Utapata glass 600 na zaidi
Utaweza kuuza dukani na kutembeza
Kwa siku glass 10 faida ni 35000 au zaidi
Ukitoa matumizi utabakiwa na 25000
Kwa mwezi ni 750000
Utaweza ongeza mtaji kila mwezi kutokana na mahitaji
Mkuu hii ni moja ya biashara yangu i know what am telling you View attachment 488162
Nichek mkuu 0786190092
 
Nami nitafute 0766966209

Maana naona uko vizuri
 
Back
Top Bottom