Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Tatizo uko mbeya ungekuwa Dar ningekushauri uje hapa corner bar Sinza ufanye biashara ya kununua dada poa inalipa sana

Au nunua viroba vya ela yote tarehe 1 mach uanze kuuza

Ushauri wangu ndio huo wewe mbeya unaona mazao kibao watu wanaleta Dar unashindwa kujiongeza
 
asante kwa ushauri maana ushauri ni ushauri tu
 
Ingependeza mkuu ukafanya biashara ulio izoea kwa kuiboresha zaidi ama kuongeza mtaji au fanya biashara inayo ingiliana na kazi yako ya mwanzo.

Kwa mfano kama ulikua unalangua na kuuza lejaleja sasa unaweza kuongeza nguvu ukawa una uza jumla na lejaleja.

Biashara usio ijua isikie tu!

Itakuhitaji mda kujifunza ikiwemo kupata hasara.Kama umeamua kufanya biashara mpya chukua mda kufanya research ya kulidhisha.

Mwisho wewe ndio mwamuzi kwakua hatujui mazingira uliopo pengine biashara mpya ikawa chaguo sahihi kwako ila kua makini fanya research acha kuingia kichwa kichwa kwa kusoma izi story za kuandika nyingi haziweki wazi changamoto za kazi.
 
chondechonde usibet,Walioibetia yanga imeshakula kwao.fungua genge kubwa lakudumu hiyo pesa inatosha hata ukilipia frame.
 
Tatizo uko mbeya ungekuwa Dar ningekushauri uje hapa corner bar Sinza ufanye biashara ya kununua dada poa inalipa sana

Au nunua viroba vya ela yote tarehe 1 mach uanze kuuza

Ushauri wangu ndio huo wewe mbeya unaona mazao kibao watu wanaleta Dar unashindwa kujiongeza
Fuga nguruwe kwani najua mbea utakosa majani
 
Hapo mjini biashara nyingi sana vuta subira kama mwezi mmoja ukifika mwezi wa tatu kuanzia tarehe 20 nenda maeneo ya songwe viwandani unachuku viazi vitamu unapeleka hapo mjini ni biashara ambayo itakuletea faida haraka na hahitaji mtaji mkubwa hata ukiwa na laki mbili na nusu mpaka msimu unaisha utakuwa umetengeneza kiasi cha kutosha
 
Mbeya kuna maeneo mengi sana ambayo myez kama hii wanavuna maindi, sasia jalibu kuondoa moyo wa uwoga nenda vijijini kama Mbozi au chunya na laki5 zako kanunue maindi kwa wakulima safilisha mpaka mbeya mjini uza kwa wanao nunua kwa jumla, naamn hauta kosa chochote ukiona inanoga ongeza na lak5 uliyo bakiza baada ya myez kazaa natumaini utakuwa mbali, Ila angalizo ogopa kumtumia mtu nenda mwenyewe shamba
 
Back
Top Bottom