Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Milioni mbili unaweza kufungua duka, unaweza kufanya biashara ya samaki au dagaa kutoka wanapovuliwa na kuwaleta masokoni, kufunga kuku wa kisasa na wa kienyeji, kufungua grocery, m-pesa/tigopesa, kulima Nyanya /matikiti maji nk.

Kuhusu kiwanja kabla ya mradi jibu ni ndio, kiwanja kinalipa baada ya miaka kadhaa iwe kwa kuamua kuishi hapo au kuuza na usisahau biashara 6 kati ya kumi zinazoanzishwa hufa na mbili kati ya hizo nne zilizobaki hudumaa yaani unapata pango hela ya kula na mavazi tu biashara miaka kibao iko level hiyo hiyo
Ahsante sana mkuu, michango kama hii ndio hutoa mwanga wa nini cha kufanya
 
Milioni mbili unaweza kufungua duka, unaweza kufanya biashara ya samaki au dagaa kutoka wanapovuliwa na kuwaleta masokoni, kufunga kuku wa kisasa na wa kienyeji, kufungua grocery, m-pesa/tigopesa, kulima Nyanya /matikiti maji nk.

Kuhusu kiwanja kabla ya mradi jibu ni ndio, kiwanja kinalipa baada ya miaka kadhaa iwe kwa kuamua kuishi hapo au kuuza na usisahau biashara 6 kati ya kumi zinazoanzishwa hufa na mbili kati ya hizo nne zilizobaki hudumaa yaani unapata pango hela ya kula na mavazi tu biashara miaka kibao iko level hiyo hiyo
Fuata hii ni big idea mkuu
 
Bado nakushauri kama umepata kiwanja Mkuu nenda kesho kanunue hivyo vyote vingine ni vizuri lkn mtaji mwingine ufanye baadae. bodaboda ni stress tupu mara kukamatwa kununua vifaa ,kuku sawa lkn uwe na muda wa kutosha, duka uwiiii kama hujawahi fanya utaona M 2 kila sikuinapotea. Mi nishapuyanga kote huko lkn naona waliowekeza kwenye nyumba kwanza wanaamani. Hiyo Network business nyingi ni za kutembea umbali kutafuta wateja na kwenye kampuni mnakuwa wengi kumbuka.
 
Ahsante sana mkuu, itabidi nikalipie kiwanja,
 
Natumai mu wazima wapendwa, lengo la Uzi huu ni kuomba ushauri wa nini cha kufanya na kikalipa vizuri kwa mtaji wa shilingi milioni mbili, naomba tushauriane vizuri na kwa faida ya wengi, pia naomba ushauri kati ya mambo haya:-
#Je, ni bora kununua kiwanja kabla ya kuwekeza kwenye vimiradi vidogovidogo,

NB: kiwango cha hela nilichoweka kinaweza kikawa zaidi au chini ya hapo, tushauriane wapendwa.

We uko wapi, na unataka faida kwa kiasi gani na kwa muda gani?, nitafute tufanye biashara
 
Back
Top Bottom