Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Mkuu chungulia kwa makini kwenye jukwaa hili hili la biashara, kuna business ideas nyingi tu.

-Kaveli-
 
Wakuu muda umefika sisi kama vijana wakitanzania kuwa na aidea ambazo ni sustainale, Tuachane na biashara za uchuzi na tufanye project zenye feature kwaa baadae,

Safari ya maisha yako katika biashara inaanzia hapa, Ni bora unapo kuwa na wazo la biashara kuwa na wazo la kudumu miaka 100 ijayo hata kama hutakuwepo duniani kipindi hicho ila biashara yako itakuwepo,

Watu kama hawa waliangalia mbali sana

1. Michaele Dell- Ingawa hayupo Duniani ila kazi yake ipo, huyu jamaa hakuangalia kwenye kupata faida ya muda mfupi

2. Honda- Hon da hayupo duniani- Ila kazi yake bado ipo

3. Henry Ford- Aliona mbali sana

Wako wengi sana, Kuna post nili iweka humu Kuhusu CHINA ingawa watu hatutaki kuisoma ila ina ujumbe mkubwa sana, CHINA KUNA WATU WANAANZA TRANSPORT COMPANY NA BAISKELI LAKINI MWISHO WA SIKU WANAKUJA KUMILIKI MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO huyu aliona mbali na alivyo anza Transport company na baiskeli pekee alijua anako tarajia kuwepo siku moja,

Wakuu turudu kwetu, UNAPO KUJA NA WAZO HAKIKISHA WAZO LAKO HALIISHII NJIANA NA HAKIKISHA NI SUSTAINABLE WAZO,
Mfano

1. Kuuza Mitumba- Hapa hakikisha unataka kuwa wapi siku moja? Je kuuza mitumba Dunia nzima?

2. Ukianza Biashara ya Mugahawa jiulize unataka kuwa wapi siku moja? Je unataka kuwa na migahwa East and Centre Africa?

3. Samaki- Je unataka kufika wapi na hao samaki?

4. Salooni- Je unata kufika wapi na saluni?

5. Tex- Je lengo lako ni nini? Je ni siku moja kuwa na kampuni kubwa ya Tax Africa?

6. Kufuga kuku- Je unataka kuwa na nini katika hii biashara ya kuku?

7. Kufuga ngo'ombe- Je unataka kuwa wapi siku moja na ufugaji ngo'ombe?

WAKUU TUMEKUWA TUKIFANYA BIASHARA KAMA ZIMA MOTO- Leo utasikia anafuga kuku. kesho kaisha acha kuku ana miliki Tex; kesho kutwa kaachana na Tex ana miliki kibanda cha M- pesa, mara kaacha kibanda cha M-PESA sas ana nunua viazi kutoka Iringa na kuleta Dar,

Wakuu kuna thread yangu kuhusu Ni muda upi sahaihi wa kuanza biashara, someni hiyo thread,

UNAPO TANGAZA KUINGIA KATIKA BIASHARA INGIA MOJA KWA MOJA UKIWA NA LENGO LA KUFIKA MBALI SANA NA HIYO BIASHARA YAKO
Good idear,
 
Nakusaidia kwa mawazo yangu kidogo yakikusaidia ninunulie kahawa na mandazi mbili......
shilingi milion moja utafanya hivi.
1.Kibanda cha CD(video library)
Meza ya computer: 40000/
Computer: 250,000/=
subwoofer ndogo: 60,000/=
Hard disk: 100,000/=
Shelf za CD: 50000
Plastic chair 3pcs: 15000x3=45000/=
Memory 1Gg original 5x5500= 16500/=
memory 2gb og 5= 30000/
4GB memory = 21000/=
CDBongo movie 1500X30= 45000/=
DVD collectin 1000x20= 20000
Season Movie 20x1000= 20000
Kodi 30000x3= 120,000
Kujaza harddisk: 30000
leseni 40000.
extension 2: og 30000
chaja za pin ndogo,smartphon na tecno angalau tatu tatu.
Total: 917,500
Epuka usharobaroo,
Epuka mademu wengi.
Epuka Disko
Epuka ushabiki wa mpira
Epuka Kupenda HipHop
Epuka Kupenda Singei Singeli
Epuka Unafiki
Epuka Bangi
Epuka Pombe
Epuka Mkopo.
Usiuze shamba.
Usiuze nyumba aliojenga baba au iliyokwenye kiwanja cha baba.
Epuka dharau
Uwe mwenye Tabia nzuri.
Fanya utafiti eneo ulilopo...
Uwe mbunifu kama sio wacha kabisa biashara haifanywi kwa mazoea.
Usitake uwe kama fulani
Kua wewe kama Wewe.


Ukiona Ushauri na mawazo haya yatakusaidia ninunulie mandazi mbili.

mimi nami ni msaka mtaji mawazo ninayo mengi pesa ndio tatizo
unaweza nigaia 500 tu itanisaidia pakubwa.
Aksante kaka... Mi nakutumia buku
 
Nakusaidia kwa mawazo yangu kidogo yakikusaidia ninunulie kahawa na mandazi mbili......
shilingi milion moja utafanya hivi.
1.Kibanda cha CD(video library)
Meza ya computer: 40000/
Computer: 250,000/=
subwoofer ndogo: 60,000/=
Hard disk: 100,000/=
Shelf za CD: 50000
Plastic chair 3pcs: 15000x3=45000/=
Memory 1Gg original 5x5500= 16500/=
memory 2gb og 5= 30000/
4GB memory = 21000/=
CDBongo movie 1500X30= 45000/=
DVD collectin 1000x20= 20000
Season Movie 20x1000= 20000
Kodi 30000x3= 120,000
Kujaza harddisk: 30000
leseni 40000.
extension 2: og 30000
chaja za pin ndogo,smartphon na tecno angalau tatu tatu.
Total: 917,500
Epuka usharobaroo,
Epuka mademu wengi.
Epuka Disko
Epuka ushabiki wa mpira
Epuka Kupenda HipHop
Epuka Kupenda Singei Singeli
Epuka Unafiki
Epuka Bangi
Epuka Pombe
Epuka Mkopo.
Usiuze shamba.
Usiuze nyumba aliojenga baba au iliyokwenye kiwanja cha baba.
Epuka dharau
Uwe mwenye Tabia nzuri.
Fanya utafiti eneo ulilopo...
Uwe mbunifu kama sio wacha kabisa biashara haifanywi kwa mazoea.
Usitake uwe kama fulani
Kua wewe kama Wewe.


Ukiona Ushauri na mawazo haya yatakusaidia ninunulie mandazi mbili.

mimi nami ni msaka mtaji mawazo ninayo mengi pesa ndio tatizo
unaweza nigaia 500 tu itanisaidia pakubwa.
Nice ideal kaka....but hivi hii Biashara faida yake inakujae
 
Nakusaidia kwa mawazo yangu kidogo yakikusaidia ninunulie kahawa na mandazi mbili......
shilingi milion moja utafanya hivi.
1.Kibanda cha CD(video library)
Meza ya computer: 40000/
Computer: 250,000/=
subwoofer ndogo: 60,000/=
Hard disk: 100,000/=
Shelf za CD: 50000
Plastic chair 3pcs: 15000x3=45000/=
Memory 1Gg original 5x5500= 16500/=
memory 2gb og 5= 30000/
4GB memory = 21000/=
CDBongo movie 1500X30= 45000/=
DVD collectin 1000x20= 20000
Season Movie 20x1000= 20000
Kodi 30000x3= 120,000
Kujaza harddisk: 30000
leseni 40000.
extension 2: og 30000
chaja za pin ndogo,smartphon na tecno angalau tatu tatu.
Total: 917,500
Epuka usharobaroo,
Epuka mademu wengi.
Epuka Disko
Epuka ushabiki wa mpira
Epuka Kupenda HipHop
Epuka Kupenda Singei Singeli
Epuka Unafiki
Epuka Bangi
Epuka Pombe
Epuka Mkopo.
Usiuze shamba.
Usiuze nyumba aliojenga baba au iliyokwenye kiwanja cha baba.
Epuka dharau
Uwe mwenye Tabia nzuri.
Fanya utafiti eneo ulilopo...
Uwe mbunifu kama sio wacha kabisa biashara haifanywi kwa mazoea.
Usitake uwe kama fulani
Kua wewe kama Wewe.


Ukiona Ushauri na mawazo haya yatakusaidia ninunulie mandazi mbili.

mimi nami ni msaka mtaji mawazo ninayo mengi pesa ndio tatizo
unaweza nigaia 500 tu itanisaidia pakubwa.
 
Nilikuwa naombn ushaur wakuu ..kwamfano unamil moja je nibiashara gan ambay utawez anzish APA mjini naikakup faida
 
Inategemeana uko wapi,sababu unaweza kupewa ushauri ambao una mashiko zaidi kwa eneo ulilopo
 
Ela nyingi sana hiyo,tafuta fundi cherehani anae jifunza uingie nae mkataba umnunulie cherehani na umpagie frem hakafu umpe mkataba mrefu kidogo(ntakuja na mchanganuo baadae namna unavyoweza tajirika kupitia cherehani).
Fafanua mkuu kwa faida ya wote
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 ndo kwanza naanza maisha sina mke wala mchumba nataka nianzishe biashara kwa mtaji wa milion moja..je ni biashara ipi itanifaa..nipo dsm.....karibuni wadau
 
Back
Top Bottom