Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

KAMA HUNA AJIRA KABISA FANYA BIASHARA YA MAZIWA TOKA MKURANGA AU RUFIJI unanunua LITA 100 au lita 200

=> lita 1 @ 800/= au 900/=
=> UNAUZA DAR ES SALAM 1600/= au unafungua mgahawa wako unauza mpaka 2000/= kwa lita

=> CHUKUA HESABU HII LITA 100 UTANUNUA KWA 80,000/= UTAUZA UTAPATA 160,000/=

=> KATKA 160,000/= toa garama za ununuzi 80,000/= toa nauli 20,000/= toa 10,000/= YA WAFANYAKAZI WAWILI KILA SIKU @5000/=

=> FAIDA YAKO KILA SIKU 50,000/= KWA MWEZI 1,500,000/=

=> JE ukinunua lita mia mbili (200) KWA WAFANYAKAZI 4 WA KUSAMBAZA UTAPATA MILIONI 3 KWA MWEZI

=> KIFAA CHA KUPIMA KAMA MAZIWA YAMEWEKWA MAJI/KUCHAKACHULIWA KINAUZWA 30,000/=

=> MTAJI WA MAZIWA NI 100,000/= TU!, kiasi kilichobaki fungua mgahawa ili uuze maziwa yatakayobaki na kununua FRIJI/FRIZA YA KUHIFADHIA MAZIWA

umenifungua kichwa,Ahsante sana
 
=> USAFIRI UPO WA UHAKIKA MWAKA MZIMA,
=> KUHARIBIKA HAYAHARIBIKI KWA KUWA HUWA WANAKAMUA KUANZIA SAA 10 usiku mpaka saa moja au saa mbili kasoro YANAFIKA MBAGALA
=> KUMBUKA YAKISHAFIKA HUWEKWA KWENYE FRIJI ILI YASIGANDE, AU KUYACHEMSHA YOTE NA KUANZA KUSAMBAZA KWA MAHOTEL NA MAMA NTILIE AU CAFE
=> Maziwa yanapatikana mwaka mzima, huku kuna wasukuma wanamifugo mingi sana,
=> ULIZA SWALI JINGINE KAMA UNALO
=>

Mkuu hizo lita 100 au 200 unapata kwa mtu mmoja au unakusanya kwa kuzunguka kwa mfugaji mmoja mmoja hapo Mkuranga? Hao wafanyakazi 2 au 4 wanasambaza maziwa wapi? Soko la uhakika la kuuza lita 100 au 200 lipo wapi au ni kwa kutembeza mwenyewe kwa kutumia hao wafanyakazi?
 
masamchris asante kwa michango yako nimependa idea ya duka la watoto ngoja niifanyie kazi.
 
Last edited by a moderator:
KAMA HUNA AJIRA KABISA FANYA BIASHARA YA MAZIWA TOKA MKURANGA AU RUFIJI unanunua LITA 100 au lita 200

=> lita 1 @ 800/= au 900/=
=> UNAUZA DAR ES SALAM 1600/= au unafungua mgahawa wako unauza mpaka 2000/= kwa lita

=> CHUKUA HESABU HII LITA 100 UTANUNUA KWA 80,000/= UTAUZA UTAPATA 160,000/=

=> KATKA 160,000/= toa garama za ununuzi 80,000/= toa nauli 20,000/= toa 10,000/= YA WAFANYAKAZI WAWILI KILA SIKU @5000/=

=> FAIDA YAKO KILA SIKU 50,000/= KWA MWEZI 1,500,000/=

=> JE ukinunua lita mia mbili (200) KWA WAFANYAKAZI 4 WA KUSAMBAZA UTAPATA MILIONI 3 KWA MWEZI

=> KIFAA CHA KUPIMA KAMA MAZIWA YAMEWEKWA MAJI/KUCHAKACHULIWA KINAUZWA 30,000/=

=> MTAJI WA MAZIWA NI 100,000/= TU!, kiasi kilichobaki fungua mgahawa ili uuze maziwa yatakayobaki na kununua FRIJI/FRIZA YA KUHIFADHIA MAZIWA

pokea "like" mkuu...
 
mkuu hizo lita 100 au 200 unapata kwa mtu mmoja au unakusanya kwa kuzunguka kwa mfugaji mmoja mmoja hapo mkuranga? Hao wafanyakazi 2 au 4 wanasambaza maziwa wapi? Soko la uhakika la kuuza lita 100 au 200 lipo wapi au ni kwa kutembeza mwenyewe kwa kutumia hao wafanyakazi?

unachukua kwenye boma mbili au tatu tu! Mfugaji mmoja anauwezo wa kuzalisha lita 80 kwa siku, sana sana wewe huendi kuchukua, unamwomba mtu akukusanyie na kukuwekea kwa gari unapokelea mbagala,
 
SOKO LA MAZIWA LIPO
=> mashuleni walimu hununua sana, maana hayajachakachuliwa.
=>fungua mgahawa wako hasa sehemu yenye watu wengi ili uuze maziwa mengi
=> mtaani kusambaza
=> mamantilie, hotelini nk
=> KUSAMBAZA NI KWA KUTUMIA BAISKEL
=> KUMBUKA KUTOKANA NA WATU DAR KUMILIKI FRIJI MAZIWA UNAWEZA SAMBAZA MUDA WOWOTE ASUBUHI MCHANA JION
 
nimefunguka,,,mashamba bei gani huko

mashamba ni kuanzia laki 5, 6, 7, 8, 9 mpaka milioni 2 au 3 inatokana na shamba lipo wapi! Likiwa kijiji cha ndani ndani bei ndo laki 5, karibu na kata ya mkuranga ni milion mbili
kadri unavyosogea karibu na mjini bei inapanda pia inategemea na
anayeuza ni mmiliki au dalali

=> mashamba yapo, kwa sasa wachina, na makampuni binafsi wamenunu maeneo makubwa makubwa
 
Habari wakuu, nimejikusanya toka mwaka juzi sasa nina mpango wa kufanya biashara ambayo haitaathiri masomo yangu.

Karibuni
 
habari wakuu,,nimejikusanya toka mwaka juzi sasa nina mpango wa kufanya biashara ambayo haitaathiri masomo yangu..karibuni

wekeza kwenye vibiashara visivyo tumia fedha nyingi kwanza. Maxmum mtaji usiozidi laki 1. Ilikujenga ujuzi na akili za kibiashara. Ukiweza kukontol. Iyo laki moja ikazalisha zaidi ya iyo laki moja utakuwa mfanya biashara mkubwa kwa muda mchache sana. Mimi nakushauri anza na mtaji wa laki moja kwanza. Walau uwe unazalisha elf 10 - 20 kwa siku ili kujenga tabia za biashara anza na laki1 kadiri unavyokua unaongeza mtaji.
 
Kwanza toa hata twenty umsaidie yule msela anaehitaji jiwe na ishirini kulipa kodi ya nyumba.
Uzi wake upo humu.
 
Back
Top Bottom