Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe..........

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Cheki jamaa hapa alivyokula kula cargo ya hatari nomaaaaa

Photo0013[1].jpg
 
trafiki lazima wale mshiko hapo sio bure mtaji au nguvu ileeeeeeeee inaondoka du kazi kweli tanzania
 
hatari sana hii jamaa akipita karibu na nyaya za umeme... hawezi hata kuona nyuma wala nini

this should be condemned
 
Ndo hivyo ukipata traffic unamwachia nusu maisha yanasonga!
 
Back
Top Bottom