nyambari JF-Expert Member Nov 3, 2010 355 171 Sep 27, 2011 #1 Cheki jamaa hapa alivyokula kula cargo ya hatari nomaaaaa
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Sep 27, 2011 #2 iko poa tu ila hapo lazima mtu adondoke na shipa akiacha hiyo shughuli..
shegaboy JF-Expert Member Apr 11, 2011 213 34 Sep 27, 2011 #5 trafiki lazima wale mshiko hapo sio bure mtaji au nguvu ileeeeeeeee inaondoka du kazi kweli tanzania
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Sep 27, 2011 #6 traffic wanachekelea kajileta mwenyewe!
TIMING JF-Expert Member Apr 12, 2008 24,885 11,274 Sep 27, 2011 #7 hatari sana hii jamaa akipita karibu na nyaya za umeme... hawezi hata kuona nyuma wala nini this should be condemned
hatari sana hii jamaa akipita karibu na nyaya za umeme... hawezi hata kuona nyuma wala nini this should be condemned
S sakatutuka Member Sep 14, 2011 17 0 Sep 27, 2011 #8 Ngoma bado inadai,ila pakuweka mzigo mwingine ndio ishu.
nyambari JF-Expert Member Nov 3, 2010 355 171 Sep 27, 2011 Thread starter #9 Ndo hivyo ukipata traffic unamwachia nusu maisha yanasonga!