Mtaji wa laki 3 naweza kufanya biashara gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaji wa laki 3 naweza kufanya biashara gani

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by moyo wangu, Jun 6, 2012.

 1. m

  moyo wangu Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 3 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza na ipo siku i can mek it yes in my life...Wazoefu wa biashara naombeni mawazo yenu naamin wote humu ni magrt thnker's na sitegemei majibu ya dharau mana clazma kila ukionacho ukoment nawe ujulikane upo..kama huna pita njia na waache wenye busara na upeo watuelimshe..Ahsante
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwa pesa hiyo unaweza kufanya biashara ya vitumbua au mama niwekee.
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wewe ulipanga kufanya biashara gani? tuanze na hilo kwanza.
   
 4. m

  moyo wangu Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Vitu vdogo vdogo vya wanawake
   
 5. m

  moyo wangu Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  ni maisha pia
   
 6. l

  london JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inabdidi uandike business plan na uikoleze ushahidi halisia yaani unakwenda kuulizia ww mwenyewe mfano kujua kweli hivyo vitu unavyodhani vinauzika kweli kwenye hali halisi vinauzika-ulizia walau wanawake 30-50, mfano unaweza kuwauliza ni vitu gani ambavyo wanavitumia mara kwa mara au kama wangepewa nafasi ya kununua vitu vya kike wangenunua nini unaweka orodha wanatick kimoja au viwili then unakuja kuona vipi vimechaguliwa zaidi, jaribu kuwa specific zaidi-i.e. nguo za ndani km..., vipodozi km...? na kwa bei gani hao wateja wako unaowa-target wanasema wanaweza kununua kwa cash au mkopo! Je wapi utanunua hivyo vitu vya biashara-je umezunguka maduka kama 10 kulinganisha bei za jumla? utauzia wapi-kwa musimu au muda mrefu? Je gharama za usafirishaji? Gharama za utekelezaji wa mradi wako- labour cost? Risk zake zipo? Mimi wazo langu hebu fikiria kutengeneza ice cream kisha uuze kwenye mazingira ya shule hasa shule za msingi au uende kiwandani kwa bhaharesa uulizie kama bei ya ice cream zao kwa jumla, uone wewe utauza kwa bei gani na faida.
   
 7. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Angalia aina ya Biashara unayotaka kufanya na soko zuri lilipo, kama ni ya chakula, tafuta maeneo yenye wahitaji wengi wa chakula, mfano, kwenye shule, hasa shule za Sekondari, madereva, makondakta, wauzaji wa sokoni, wauza mitumba, bites, juice, matunda, maeneo kama ya ufukweni, kama ni hivyo vitu vya wanawake, maybe nguo, viatu, mikoba n.k, kuna Maeneo kama Mwenge, maeneo ya around na Vyuo, nguo za watoto wadogo au matunda, maeneo ya karibu na hospitali kubwa n.k
   
 8. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu doreen22 na london wamekupa mwanga sasa anza kazi but
  tafuta zile amri za ujasiriamali, mi ntakupa chache tu;   • ubunifu(andaa mpango wa biashara yako)
   • kujituma
   • fanya kazi mwenyewe(usiajiri mtu kwanza)
   • tunza mahesabu vizuri
   • uvumilivu
   • kubali hasara penye faida
   • ujasiri(usiogope)
   • kubali changamoto(usidharau)
   • pigania kuongeza mtaji inapobidi
   • heshimu wateja wako
   • fanya tathmini ya biashara yako kila wakati na ukibaini maendeleo chanya endelea nayo, kama ni hasi anza kufikiri upya juu ya mpango wako na uendelezaji wake.
  "usikubali kufeli mtihani nje ya chumba cha mtihani"
   
 9. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uza bidhaa zako kwa bei ambayo wananchi wanaweza kuimudu vizuri na hiyo bei iwe ni yenye kukupa faida wewe pia, ili mtaji wako uweze kukua na kukuwezesha wewe kukuza biashara yako na kuendesha maisha yako vizuri, safari moja, huanzisha nyingine!, sorry simaanishi Bia!, but mwendelezo wako wa kibiashara, usiogope, usitishwe, maana binadamu wengi kwa kukatisha wenzao tamaa, ni kiboko, kisa wao yamewashinda, wakati si ajabu ni kwasababu ya kutokuwa makini na serious katika wanachokifanya, we pambana, steringi kwenye movie ya maisha yako ni wewe mwenyewe, kama Prof.Jay alivyosema
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mtaji mdogo sana na inabidi uwe mvumilivu sana kwenye swala zima la kupata faida nzuri, kama sio muuza sura nenda boma sokoni wanapouza mitumba wanaanza kufungua sa10 usiku wahi mashati ya kiume jinzi model then uanze kutembeza kwa madenti vyuoni ata kwa watu binafsi, pale uwa wanauza bei rahisi sana kuliko watu wanavyopigwa mtaani,waweza nunua labda shati kwa elfu tatu ukalipiga mpaka elfu kumi...try ilo
   
 11. r

  rollingstone Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama uko Dar, naomba nikuagize kariakoo ukaniulizie bei ya pili pili aina ya paprika, nasikia kuna wahindi huwa wanaisaka sana ila hawajui wapate wapi kwani kwa miaka ya nyuma kulikuwa na kampuni inanunua kwa jumla, Mwaka huu kuna wakulima wamelima na hawajui wapeleke wapi. Please kama uko serious, nenda karioakoo alafu uje humu tena tufanye biashara.
   
 12. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  sasa kwa wale wanaopiga kelele za kujiajili huu ndio wakat muafaka wa kumpa mawazo mkuu.ctegemei aachwe uchi huyu ila kuna wandugu ambao c tukilalamika ajira wao utaskia vijana mjiajili.
   
 13. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  mmh labda kuuza bagia ama sambusa
   
 14. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,017
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanapenda kuvunja moyo wenzao!!!
  Mtu anauliza unamjibu kwa dhihaka.


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  huwezi kuwaona hapa
   
 16. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nakushauri ujifunze kupaka rangi na kutengeneza kucha akina dada. ni kabiashara kazuri sana kwa hela uliyonayo itatosha kwa kuanzia
   
 17. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ongea na Chadema wakuonyeshe wanapouza Mabati na Cement sh. 5000 ili ufanye hiyo.
   
 18. m

  moyo wangu Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Inafaa uianze wewe kwanza
   
 19. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Duuuh! Kweli wewe CHUKI!
   
 20. r

  rollingstone Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi ulishafanya kasavey niliyokuambia kuhusu paprika?
   
Loading...