Mtaji wa CCM wazidi kupukutika sasa ni mtaa kwa mtaa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Jana wanachama zaidi ya 20 walirudisha kadi za chama cha Mabwepande na kujiunga na M4C ni mtaa wa Sanare ambao mwenyekiti wa mtaa huo ndg Selemani anatuhuma kaifatavyo
-amechangisha 3,000 kila familia kwaajili ya bunduki lakini mpaka leo haja nunua hiyo bunduki kuna kaya 2,000 na bunduki 900,000 huku yeye alipata mil 6,000,000
-anachangisha 200 kila mtoto kila siku kwa ajili ya kitu kina itwa mkakatina shule ya daraja II ininawanafunzi 2000.
-anakusanya pesa ya takataka 1,000 kwa familia na 2000 kwa kibanda/duka ukifanya kosa lolote unalipishwa 10000 na hakuna risiti.

-wakusanyaji wa michango yote ni watoto wake.
-ukitaka barua yako isaniwe na mwenyekiti ni 5,000 mkopo ni 20000 ikumbukwe hakuna risiti..
IMG_0164.JPG
IMG_0168.JPG
IMG_0171.JPG
IMG_0186.JPG
Kamanda Ephata Nanyaro akipokea wanachama waliokihama chama cha Mabwepande na kuhamia chama cha Demokrasia na Maendeleo na nyumba inaonekana kwa nyuma ndiyo nyumba ya mwenyekiti wa mtaa Ndg Seleman.
 
Haya sasa...
Daraja II waisahau hawa Mabwepande.
Wangejua wahamishie mahala kwengine hizo resources wanazopoteza.
 
Haya sasa...
Daraja II waisahau hawa Mabwepande.
Wangejua wahamishie mahala kwengine hizo resources wanazopoteza.

CCM wanagawa sukari kama hawana akili nzuri Lema jana aliwaambia wakazi wa mtaa wa sanare wasikatae sukari na pesa lakini wao wajue wanaenda kumchagua Diwani kupitia Chadema...
 
hakuna kulala hadi kieleweki.pamoja tutashinda kuizika ccm
 
Back
Top Bottom