Nina mtaji wa 25 milioni: Idea ipi itafaa kati ya hizi?

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
Hello wanajamii,

Sio tu mnaweza kunisaidia mimi bali na wengine wengi kwenye hii network.

Naamini ideas zote hapo ni best, ila ipi itakayo zalisha pato kwa kasi na ukubwa zaidi.

Naombeni suggestions na uchambuzi wenu, karibuni.

LOCATION: Mji wenye muingiliano wa watu

MTAJI: Milioni 25 (iko nje ya kodi ya pango, dalali, urekebishaji na TRA)


IDEAS》》》》》》》

1: Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama vile pliers, misumari, nyundo.... bila ya kuwa na material kubwa.

2: Hardware yenye material za finishing kwa ajili ya ujenzi kama vile gypsum boards, sinks, gypsum powder..

3: Ofisi tatu za Uwakala fedha wa mitandao ya simu na mabenki (CRDB na NMB).

4: Uwakala mkubwa wa vinywaji vya Azam na kuongezea kidogo kidogo vinywaji vingine kama soda take aways....kutoka kiwandani
 
Kama mji unakua na kuna shughuli nyingi za ujenzi idea ya hardware ipo vizuri.

Kama kuna muingiliano wa watu na pashejengeka tayari, mzunguko wa pesa upo mzuri basi uwakala unalipa pia.
 
Kama mji unakua na kuna shughuli nyingi za ujenzi idea ya hardware ipo vizuri.
Kama kuna muingiliano wa watu na pashejengeka tayari, mzunguko wa pesa upo mzuri basi uwakala unalipa pia.
Ahsante mkuu...kwa elaboration
 
Back
Top Bottom