Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,436
- 2,156
Usifananishe na Lubeleje ndio huvaa Nyakundu na ni Mbunge wa Mpwapwa..shabiki wa Simba lialia.Uyo alovaa manguo mekundu anaitwa KUWAYAWAYA S KUWAYAWAYA aliwai kua mbunge wa mpwapwa zamani hua anavaa manguo mekundu maisha yake yote!!
Utani unaharibu uzi mbwa we
Usifananishe na Lubeleje ndio huvaa Nyakundu na ni Mbunge wa Mpwapwa..shabiki wa Simba lialia.
Sent using Jamii Forums mobile app
OkHayo maelezo nloyatoa yanajitosheleza! Nawafahamu wote wawili VIZURI mnoo!!
Haha
Hahahaha hata hausi take in rangi nyekundu
isa michuzi
SIYO LUBELEJE KUWAYAWAYA STEVEN KUWAYAWAYA ALIWAHI KUWA MBUNGE WA CHILONWA NI WAKILI WA KUJITEGEMEA OFISI ZAKE ZIPO CCT HOUSEUsifananishe na Lubeleje ndio huvaa Nyakundu na ni Mbunge wa Mpwapwa..shabiki wa Simba lialia.
Sent using Jamii Forums mobile app