Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Kwa msingi mwl Habibu, sekondari mwl Silvano, sekondari ya juu mwl Sarikoki, chuo Prof. Shadrack Mwakalila
 
Baadae alihamia gold moshi. Kwa biology hapo sijui nisemeje maana anafundisha vizuri sana. Mara ya mwisho nlikutana naye alipokuja kama mkaguzi skul kwetu 2009

Yaah alisha staafu...mtoto wake Dr bariki nilisoma nae primary wkt yupo tbr baadae wakahamia mbeya na wakarudi tena tbr baada yA mme wake kua jaji ndio akanifundisha ila mmewe akahamishiwa moshi wote waka staafu huko huko
 
Alikuwa anafundisha mpaka tunajikuta tumeshampigia makofi na kushangalia!!
 
  1. Sister Agatha pande za St. Peters Kindagarten Oysterbay
  2. Marehemu Mwalimu Mama Nunduma Oysterbay Primary School
  3. Marehemu Mwalimu Thomas Olinga Bugema Secondary ( Uganda )
  4. Mwalimu David Hapeworth Kabojja High School ( Uganda )
  5. Professor Smith G University of Cape Town ( South Africa )
  6. Mhadhiri Fr. Dkt. Bernadine Mfumbusa Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT )
  7. Mhadhiri Dkt Ayub Ryoba ( SAUT ) school of Graduate studies.
Hao Kwangu Mimi ndiyo Heroes wangu na niseme tu akhsante sana Kwao japo nawapa pole kwani kwa aina ya Utundu wangu kwakweli niliwasumbua mno ila hawakuchoka kuninyoosha na sasa nimekuwa Mtu katika Watu japo pia niseme tu Walimu wengine wote katika hizo Shule na Vyuo walinisaidia sana na Wao pia wabarikiwe mno na wale waliotangulia mbele za haki basi Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahala pema peponi Amen / Inshaallah.
Inaelekea elimu yako ya kuungaunga sana kama bashite.
 
Nimefikiria la kujibu tangu uanzishe huu uzi, ngoja tu niseme mimi ndio hawatanisahau

Wa day skuli hadi boarding skuli hadi....

Nyota nyota jamani hadi raha
 
Mwl gwitaba wa mwandiga sec school mwl wa mathematics pia mwl ntambala mwl wa physics....bila kumsahau hayati mwl baraka magambo mwl wa bios na hayati kondo....
 
Inaelekea elimu yako ya kuungaunga sana kama bashite.

Hata Baba yako kabla ya kufikiri kukutafuta Yeye na Yeye aliunganishiwa sana Mikuyenge ya Wanaume kunako Nyero lake ndipo akapata stater ya kumshindilia Bi Mkubwa wako na hatimaye leo kidudu Mtu Wewe unapumua.
 
Weka vyeti hapa MREMBO...wacha kurukaruka kama unapigwa pipe.
 
Walimu wote wa ITIGI RELI BOARDING PRIMARY SCHOOL...& (OLD) MOSHI HIGH SCHOOL NA LECTURERS wote wa KAMPALA UNIVERSITY MAIN CAMPUS [HASHTAG]#GGABA[/HASHTAG] mungu awabariki sana
 
Mungu ailaze roho yake pema peponi Mwl. Mfumu. Tcha wangu wa Chemistry O-level
 
Weka vyeti hapa MREMBO...wacha kurukaruka kama unapigwa pipe.

Mbona paipu hilo hilo kila siku nampiga Mamito wako! au hajakuambia kuwa Wewe ni bao langu la nje? Mwambie akuonyeshe Cheti changu cha Mkuyenge wangu baada ya kuwekewa Pete Muhimbili.
 
Mbona paipu hilo hilo kila siku nampiga Mamito wako! au hajakuambia kuwa Wewe ni bao langu la nje? Mwambie akuonyeshe Cheti changu cha Mkuyenge wangu baada ya kuwekewa Pete Muhimbili.
Replies ndeeeeffffuuu halafu hazieleweki,sasa nimethibitisha kwamba wewe una elimu ya kuungaunga,WEWE ni ZERO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom