Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Mkuu jitahidi kuanza na herufi kubwa kila baada ya kituo (nukta/.).
Ahsante sana
Watu kama nyie ndo ndege John anataka mtafutane awagonge nako!. umeacha reply zote umekuja kwangu!. halafu mbona hata Wewe umekosea?.hii jf si ya kwako ingekuwa yako ndo ungetupangia jinsi ya kuandika. naomba usini quote sitaki shobo bobu!
 
Hahahaha mkuu hili povu la sabuni gani?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom