ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,735
Kuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.