Mtairithi nchi kwa kufanya kura!! (I got this message, worth sharing)

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Ujumbe huu utatufaa sana Watanzania, nimeupokea kutoka kwa mtumishi wa Mungu aliyejitambulisha kwenye attachment. Si wangu, msinifagilie bure!!! Hata hivyo, sifa na utukufu zimendee Mungu aliyemwezesha mtumishi huyu kuachilia ujumbe huu.
 

Attachments

  • Kura yako.pdf
    69 KB · Views: 181
Sisimizi wewe ni mdogo lakini mambo yako ni makubwa. Umetoa elimu nzuri sana kutoka kwenye maandiko matakatifu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom