Mtafaruku Mpakani: Chupuchupu Raia wa Tanzania na Kenya wazichape

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
KUMENUKA! CHUPUCHUPU Raia wa TANZANIA na KENYA Wazichape, NG'OMBE WAKATWA KATWA MAPANGA. Kumeibuka mtafaruku mkubwa kwenye mpaka Kenya na Tanzania huko Rombo ambapo wananchi nchi zote mbili wameshutumu upande mwingine kuhusika na kuanzisha vurugu baina wa Kenya wakulima wa Tanzania.
Global publisher



NDUGU ZETU WAKENYA TUNAWAPENDA SANA, SUMU HAONJWI.
 
Back
Top Bottom