Mtafaruku cdm ni njama za maji taka toka ccm!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
  • Nani anaifahamu NCCR ya 1995 iliyokuwa na wabunge karibu ishirini ilikoishia??
Mnamkumbuka Masumbuko Lamwai?
Lyatonga Mrema NCCR-TLP
Mabere Marando NCCR-CDM
Kilichotokea Raskazone TANGA-mahali ambapo Mrema aliokolewa na Bodyguard wake-Chama kilisambaratika na wengine kuneemeka kwa kupewa ubunge wa East Afrika na CCM
  • Nani anaifahamu CUF ya 1995 jinsi ilivyokuwa ya upande mmoja, Mwaka 2000 Mnakumbuka watu waliokimbilia Shimoni MOMBASA Kenya Toka Pemba?
Fatma Maghimbi aliyeiongoza Chachake saivi yuko wapi-amehamia CCM na sijui kaahidiwa nini?
Visiwani hasa Pemba Elimu Uraia iko juu na ndiyo maana imebidi wakubali matokeo CCM kwa kuamua kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa, Ingawa kwa maoni yangu CUF wametereza, ilifaa waachiwe nchi
  • Nani anamkumbuka Warid Aman Kobouru aliyekuwa kiongozi mahiri Kigoma mjini aliyempeleka puta Premji, saivi yuko wapi alitimkia CCM akaiacha Chadema hadi leo Madiwani ni wengi CDM na CDM ndiyo inateua Meya pale.Sishangai kuona baadhi viongozi CDM kuonekana kuyumbishwa na mafisadi, Shauri yao waache wajiue wenyewe kisiasa ila ninachoamini ni kuwa watanzania wengi wanamapenzi ya dhati na CDM na Si mtu. Kumbukeni viongozi wa CCM ni wale wale na mbinu zao ni zile zile, hawana jipya ila kama hawako makini wafamu ya kuwa vijana tupo wengi ambao tuko dedicated kuamsha UMMA wa watanzania.
Tusikubali kuyumbishwa na majambazi, CDM isonge mbele mtu akichoka aachie ngazi apumzike kwa amani kamani Mama Musori aliyetimkia NCCR labda anaamini kule hakuna matatizo.

Thank You
:A S-omg:
 
Nakuunga mkono 100%. vijana muwe macho na makini ktk kuendeleza juhudi za kuwafahamisha wafuasi wa cdm wasiojua hili linaloendelea.
 
nimekusoma mkuu mjama hizi hazina tija kwani watanzania wengi wameanza kuelewa, watumie njia nyingine ya kujiimarisha wao sio kua vya vingine, hata hivyo hata nchi za wahisani hili wanlielewa upo mwisho wake, saa wameanzaisha magazeti ya kuliangamiza Taifa kila siku habari mbaya mbaya ya kuhsu vyama vya siasa pinzani na CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom