Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,673
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.

Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?

Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!

Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
 
Mitaa ya Masaki na Osytbay nao wanauliza, Mbona Maskini nao Akaunti zao hazikuwa 'Freezed'?

Ukizungumzia dhulma ya kuvamia Bureade change Mitaa yetu ya uswahilini huku Majohe au goba kwa Bedui hatujui maumivu yake

'Zamani tajiri aliweza kufanya lolote lakin sasa hivi anaweza kufanywa lolote'
 
Serikali ya kulinda vibosire sasa iko madarakani; serikali ya kula na kuwahadaa wananchi sasa iko madarakani; serikali ya maneno mengi na vitendo kiduchu sasa iko madarakani. Serikali ya kutetea ufisadi, rushwa, uhujumu-uchumi, uzembe, upigaji-dili, na ubadhirifu sasa iko madarakani. Uzalendo sasa ni suala la historia. Utetezi wa wanyonge ni historia.

Anyways, tuchape kazi tu kwa bidii maana yajayo yanafurahisha. Kama Mzee Ruksa, Mzee wa Masasi na yule wa Msoga awamu zao zilipita, basi na huyu naye ni suala la muda tu.
 
Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani.
Nimehangaika sana kusoma sentensi yako, lakini nilipoliona jina lako, sikushangaa. You're either a hopeless insane ama purposeful, irredeemable ignorant.
 
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!!

Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Inaonekana mteule anatekeleza maagizo ya boss wake! Unajua hao ni kina nani😜! Na hao wanyonge wana nini hata wakumbukwe😠! Wao wanyonge hawakugushiwa makosa! Walioonewa ni 'wenye majina yao na network 😜!
 
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!!

Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.

Kesi zao ni za uhujumu uchumi / utakatishaji fedha ,kuna sheria ya plea bargain ndio inaowatoa mkuu ,sasa mwizi wa kuku au watu waliopigana mitaani unataka watoke kwa plea bargain?
 
Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani.
Ndio babaako yule au mamako hajakwambiaga?
 
Serikali la kulinda vibosire sasa iko madarakani; serikali ya kula na kuwahadaa wananchi sasa iko madarakani; serikali ya maneno mengi na vitendo kiduchu sasa iko madarakani. Serikali ya kutetea ufisadi, rushwa, uhujumu-uchumi, uzembe, upigaji-dili, na ubadhirifu sasa iko madarakani. Uzalendo sasa ni suala la historia. Utetezi wa wanyonge ni historia.

Anyways, tuchape kazi tu kwa bidii maana yajayo yanafurahisha. Kama Mzee Ruksa, Mzee wa Masasi na yule wa Msoga awamu zao zilipita, basi na huyu naye ni suala la muda tu.

Push Gang mtatemeshwa viazi vya moto awamu hii ,mmekula sana enzi za JIWE. Tulieni mama apige kazi...Mikumi tena Kazi iendelee.
 
Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani....
we mcundu kibungo hawa mabwana zako hawakufungwa utawala wa jpm.
 
Dikteta alikuwa hapendi matajiri,,
Ye alikuwa anataka Kama ni utajiri labda wawe wasukuma wenzie,
Na ndiomaana aliweka ndani matajiri wengi, wengine Kama kina MO walitekwa kabisa
Wezi na wakwepa kodi hao ndio aliwachukia! Hao unaowatetea wote wapo kundi hilo! Matajiri walipa kodi na wazalendo kama mzee Mengi (RIEP mzee) walikumbatiwa na shujaa Mh Dr JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏)!
Wezi na mafisadi, wakwepa kodi walikosa chaka la kujifichia! Sasa wanataka kujificha kwenye skirt ya mama 😡!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom