Mtaani nakoishi wanahisi nauza dawa za kulevya kutokana na maisha nayoishi

Huu uzi ulitakiwa uwe kwenye matangazo mdogomadogo
Mbona sikuwa na lengo la kutangaza biashara mkuu bali nimeeleza tu what exactly I'm doing, Maana nisingesema nafanya ishu gani pengine swali lenu lingekuwa "Kwani unashughulisha na Nini"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom