Mtaani mwetu uswahilini huku Tandale kwa tumbo

27072019

Senior Member
Dec 16, 2019
116
141
1. Kuna wataalamu wa kuchukua mabeki tatu. Yaani hata aje beki tatu gani, anaye, yeye mademu wengine hana habari nao.

2. Kuna wataalamu wa kuchukua vicheche. Yaani kicheche kwake hapindui na hajisikii poa akiwa na mademu wa kawaida.

3. Kuna wataalamu wa kuchukua watoto wa geti, nyie mnawashindwa, mnasema wagumu, hawapatikani kirahisi lakini mwenzenu, kwake hawapindui.

4. Kuna wataalamu wa kuchukua wake za watu, mke wa mtu kwake, haki ya Mungu hapindui, wanakwambia wanapunguza gharama kwani huombwi hela.

5. Kuna mtaalamu wa kuchukua madenti, yeye na madenti tu, uwe form one, two yeye twende tu.

6. Kuna mtaalamu wa kuchukua mademu wakali, yeye kila demu anayekuwa naye, kisu balaa.

7. Kuna mtaalamu wa kuchukua mademu wabaya, anakwambia kapata demu mkali, ukimuona, sio kivile.

8. Kuna mtaalamu wa kufungua silidi za mtaa, yaani yeye wale watoto waliokuwa silidi, yeye ndio mfungua njia, hata mkimpa mtoto gani silidi amfuatilie, baada ya wiki anakwambia, "njia ipo wazi mnakaribishwa"

9. Kuna wataalamu wa kuhonga, haamini kama anaweza kumpata demu bila hela.

10. Wapo wale wanaochukua shemeji zao, yaani ukimtambulisha tu kesho demu anakuwa wa kwake.

11. Kuna wataalamu wa mkono wa birika...ukimpa demu jero na ukamwambia anakushangaa kwamba umewezaje kumpa demu jero, usingempa.

12. Kuna wazee wa mawindo, yaani wapo radhi watoke Tandale waende Magomeni kuwinda watoto wa Kipemba.

13. Kuna wazee wa sifa sasa, hao bwana anapiga picha na mastaa halafu anawaonyeshea mademu, ila hawachukui, yeye akiwaonyeshea karidhika.
 
Hii namba 13 kuna jamaa yangu hajui kutongoza yeye ndio ugonjwa wake na ni mwepesi kweli kupiga picha na ma staa au kiongozi fulani27072019,
 
Hivi Tandale kuna demu yuko sealed? labda katoto ka nursery school. Katika sehemu zilizokaa ovyo ovyo jijini ni Tandale yaani mvua kero jua kero pale inabidi papigwe greda Tandale yote isafishwe yajengwe ma-flat ya ukweli na jina libadilishwe
 
Back
Top Bottom