Kwa kweli mwenendo wa uchaguzi huu ni kielelezo cha ukali wa maisha. Miaka ya nyuma vipindi kama hivi ni hekaheka tu mtaani, wenye vitenge vya chama, kofia, n.k walikuwa busy kuwanadi Wagombea wao wa Udiwani na Ubunge.
Mwaka huu hata mabango ya barabarani, kwenye kuta, nguzo ni ya mgombea mmoja tu (One Man Show).
Hali za maandalizi ya kampeni ni ya kusuasua sana. Kwa kweli hivi ikitokea huyu mnunuzi wa madege ya mabeberu akapenya tena, si watu watakula hadi magome ya miti.
Kwa kweli kama taifa tunahitaji kujihurumia bila kujali umeahidiwa cheo gani.