Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Si nakuona mzee baba...huchezi mbaliii eeh😄😄😄hahaha acha kunitia vishawishi we mama
Ushindwe na ulegee kwa damu ya yesu iliyomwagika msalabani
Si nakuona mzee baba...huchezi mbaliii eeh😄😄😄hahaha acha kunitia vishawishi we mama
Ushindwe na ulegee kwa damu ya yesu iliyomwagika msalabani
Kaa na waridi unukie waswahili wanasema;Si nakuona mzee baba...huchezi mbaliii eeh😄😄😄
Ahsanteee...ngoja nitafute namm waridi languKaa na waridi unukie waswahili wanasema;
Ndio yale yale ya kulima matikiti ya million 1.5 na kuvuna million 20Hizi hesabu huwa zinatengeneza faida sana wakati wa kutengeneza idea, ila ukianza practice things are different, kwa faida hiyo kwa siku wengi tungekuwa tunauza mahindi, kwanini nikaajiliwe na kulipwa laki 5 wakati naweza kutengeneza mamilion kwa mwezi 90,000x30=2,700,000
hahaha na hiyo rangi ya mtume.Ahsanteee...ngoja nitafute namm waridi langu
Takataka weweSasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.
MAHINDI YA KUCHOMA
Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.
Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.
Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.
Matumizi:
Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day
Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.
Kwa siku 20 = 1,800,000.
Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Labda akayauzie Taifa kwenye game ya simbaMahindi 200 kwa siku? Seriously!
Hahaha applies 0hahaha na hiyo rangi ya mtume.
Sijui kwa siku unapokea applies ngapi
Mimi hata business plan huwa sizi aminiNdio yale yale ya kulima matikiti ya million 1.5 na kuvuna million 20
😀😀😀😀😀 hizi business plan za kusadikika hizi mwisho wake unaweza ukajikuta na shamba enyewe umeachia wanakijiji
labda alimaanisha punje 200.Mahindi 200 kwa siku? Seriously!
Hio inaweza make senseMimi hata business plan huwa sizi amini
Baada ya kukusanyaga taarifa zangu Huwa na ingia site direct; kujua mbivu na mbichi
Hata Kama yakilala lakini yakiisha hayo mahindi hata Kama ni siku tatu faida yake huoni Kama Bado iko fair?hayalali?
hahaha siamini akiHahaha applies 0
Uuuuwwwiii....hata IST wanazo hongwa raia sina..hahaha siamini aki
Unless kama umeanza tembelea tako la nya........... Si unajua sisi wanaume
tuna ile inferiority complex,
embu changa changa kibubuUuuuwwwiii....hata IST wanazo hongwa raia sina..
😆😆😆niongezee basi hata kwa mkopo tuuembu changa changa kibubu
Huo mwili hautendei haki ujue
hahaha masihara ayo ujue😆😆😆niongezee basi hata kwa mkopo tuu