Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

Hzi ndio biashara za kwenye makaratasi nisizozitaka,utamu wa ngoma ingia ucheze nyie ma motivetors huwa mnatuzingua sana mjue
 
Hizi hesabu huwa zinatengeneza faida sana wakati wa kutengeneza idea, ila ukianza practice things are different, kwa faida hiyo kwa siku wengi tungekuwa tunauza mahindi, kwanini nikaajiliwe na kulipwa laki 5 wakati naweza kutengeneza mamilion kwa mwezi 90,000x30=2,700,000
Ndio yale yale ya kulima matikiti ya million 1.5 na kuvuna million 20
😀😀😀😀😀 hizi business plan za kusadikika hizi mwisho wake unaweza ukajikuta na shamba enyewe umeachia wanakijiji
 
Sasa namuelewa sana JPM !

Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.

Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.

MAHINDI YA KUCHOMA

Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.

Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.

Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.

Matumizi:

Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day

Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.


Kwa siku 20 = 1,800,000.


Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Takataka wewe
 
Ndio yale yale ya kulima matikiti ya million 1.5 na kuvuna million 20
😀😀😀😀😀 hizi business plan za kusadikika hizi mwisho wake unaweza ukajikuta na shamba enyewe umeachia wanakijiji
Mimi hata business plan huwa sizi amini

Baada ya kukusanyaga taarifa zangu Huwa na ingia site direct; kujua mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom