RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,771
Nitakutumia kwa bodaboda.Napenda sana karanga...nielekeze nimfuate leo jioni nionje na mimi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutumia kwa bodaboda.Napenda sana karanga...nielekeze nimfuate leo jioni nionje na mimi...
Hiyo ni nje ya operating cost au?Tafuteni pesa huu ni ukweli mimi kwasasa dairy nalaza 50k to 100k kwa kazi ya kutembeza chakula.
Nitafurahii😊Nitakutumia kwa bodaboda.
hahaha ila mbeya poa sana ujueSijui kama utarudi wewe...lol
mama la mama zipi unazopendelea eti mbichi ama??ili nami nikuleteeNapenda sana karanga...nielekeze nimfuate leo jioni nionje na mimi...
Unaonaaa....ushatekwa wewee...hahah,.nitakuja kukusalimu nikienda mlowohahaha ila mbeya poa sana ujue
Utajiri wa kwenye makaratasi....
Ushawauliza wanaochoma na kuuza hayo mahindi mabichi na wakakupa hizo data na faida yake?
Kuandika na kusema mdomoni ni rahisi sanaa...wengi tungekuwa milioneazz...
Hawa ndio wanafanya nchi inakuwa masikin mpaka sasa,
Acheni upumbavu wa kudanganyana huko maoficin njooni mfanye kwa vitendo ndio muone uhalisia wenyewe
we mtu mzito, karibia sana tutatakupokea utatukuta na Dada muiraq tumejaa tele.Unaonaaa....ushatekwa wewee...hahah,.nitakuja kukusalimu nikienda mlowo
Unahisi shida ilikuwa nini ikamfanya akimbie?. Kuna mmoja nilimpa msingi wa kuchoma mahindi. Aliuza siku 3 TU. Akakimbia.
Hahaha daah!!!!we mtu mzito, karibia sana tutatakupokea utatukuta na Dada muiraq tumejaa tele.
Muda wako wa kufanya hizo shughuli , umeuthaminisha!!!... huo mkaa utakuwa unauweka kichwani unachomea mahindi eti..??... Umeweka gharama za Ushindani/mshindani wako maana sio kila mara utauza hizvyo kutokana na ushindani?? vitu ni vingi aseee usirahisishe mpango biashara kama vile ni shughuli ya kwenda maliwato.Sasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.
MAHINDI YA KUCHOMA
Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.
Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.
Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.
Matumizi:
Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day
Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.
Kwa siku 20 = 1,800,000.
Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Lunch time inakaribia subiria mapicha pichaHahaha daah!!!!
Yaani mimi siamini mpaka dk hii...loh!!Lunch time inakaribia subiria mapicha picha
Sijui leo ana andaa nini uko ndani.
hahaha huamini nini et!Yaani mimi siamini mpaka dk hii...loh!!
Mmmmmmmhhhhh!!!! Na hivi tumemaliza mfungo....sijuiiiii😂🤦♀️hahaha huamini nini et!
Hahaha hapa ni chakuka tu.
hahaha acha kunitia vishawishi we mamaMmmmmmmhhhhh!!!! Na hivi tumemaliza mfungo....sijuiiiii😂🤦♀️