Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,893
Points
2,000

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,893 2,000
Utajiri wa kwenye makaratasi....

Ushawauliza wanaochoma na kuuza hayo mahindi mabichi na wakakupa hizo data na faida yake?
Mahindi 200 kama rahisi raisi hivyo. Anayesisitiza vijana wajiajiri naye kaajiriwa. Wazee wanasisitiza vijana wafanye kazi, wakati wenyewe wamegoma kustaafu. Hii ndio Tz.
 
2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Messages
231
Points
250

2018

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2018
231 250
Sasa namuelewa sana JPM !

Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.

Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.

MAHINDI YA KUCHOMA

Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.

Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.

Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.

Matumizi:

Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day

Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.

Kwa siku 20 = 1,800,000.

Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Mahindi 200 kwa siku? Seriously!
 
khadija mandingo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
104
Points
225

khadija mandingo

Senior Member
Joined Apr 9, 2018
104 225
wabongo tupo vizuri kwa kuandika story ila tukicheza hiyo story picha litakuja tofauti na lilivyo andika uzoefu wangu hapa Tz biashara ya maindi ya kuchoma na kuchemsha inanguvu kubwa hapa dar swali wapi utanuna hindi 50-100 na iyo nauli yako 3000 ya kwenda wapi kununua mahindi kwa bei hiyo na mkaa 2000 ndo unatosha kuchoma mahindi yote 200-400 na iyo faida ya elfu 90000-180000 kwa siku mjomba usiandike story ya picha ilipotea
 
RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,365
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,365 2,000
Hizi hesabu huwa zinatengeneza faida sana wakati wa kutengeneza idea, ila ukianza practice things are different, kwa faida hiyo kwa siku wengi tungekuwa tunauza mahindi, kwanini nikaajiliwe na kulipwa laki 5 wakati naweza kutengeneza mamilion kwa mwezi 90,000x30=2,700,000
Tatizo liko wapi? Mahindi ya kuchoma hayauzwi mtaani? Hayanunuliki?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,365
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,365 2,000
wabongo tupo vizuri kwa kuandika story ila tukicheza hiyo story picha litakuja tofauti na lilivyo andika uzoefu wangu hapa Tz biashara ya maindi ya kuchoma na kuchemsha inanguvu kubwa hapa dar swali wapi utanuna hindi 50-100 na iyo nauli yako 3000 ya kwenda wapi kununua mahindi kwa bei hiyo na mkaa 2000 ndo unatosha kuchoma mahindi yote 200-400 na iyo faida ya elfu 90000-180000 kwa siku mjomba usiandike story ya picha ilipotea
Inawezekana ni stori au ni uhalisia. Kuna dogo anauza karanga. Kijiweni kwetu kila siku jioni saa 11 anapita tunanunua karanga minimum 3,000/- hio ni meza yetu tu. Hapo kijiweni kuna ofisi jirani kabla ya kuja hapo kwetu kila siku namuona ameweka kambi geti la hio ofisi anawauzia wafanyakazi wa hapo. Huwa anakaa hapo si chini ya nusu saa ndio anakuja kijiweni kwetu. Inawezekana kabisa hapo kwenye hio jioni ofisi na kijiweni kwetu anatengeneza 10,000 per day kwa mwezi ni kama 250,000/- hivi. Sasa je siku nzima anapopita huko kwingine anapata bei gani? Nilimuuliza akasema kilo ya karanga ni 3,000/-
 
RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,365
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,365 2,000
Mahindi 200 kwa siku? Seriously!
Mahindi 200 ni mengi sana. Ila vipi kama anauza sehemu kama sokoni? au kituo cha mabasi ? Kuna dada anauza burgers pale Leaders kinondoni, inasemekana ndio burgers bora kuliko zote Dar. Jaribu kupita hapo uulize anauza burger ngapi kwa siku burger moja 5,000. Kukupa hint tu anaweza kuja mtu mmoja akabeba burgers 30 au ikapigwa simu zikapelekwa burgers 40 kwa mpigo.
 
khadija mandingo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
104
Points
225

khadija mandingo

Senior Member
Joined Apr 9, 2018
104 225
Inawezekana ni stori au ni uhalisia. Kuna dogo anauza karanga. Kijiweni kwetu kila siku jioni saa 11 anapita tunanunua karanga minimum 3,000/- hio ni meza yetu tu. Hapo kijiweni kuna ofisi jirani kabla ya kuja hapo kwetu kila siku namuona ameweka kambi geti la hio ofisi anawauzia wafanyakazi wa hapo. Huwa anakaa hapo si chini ya nusu saa ndio anakuja kijiweni kwetu. Inawezekana kabisa hapo kwenye hio jioni ofisi na kijiweni kwetu anatengeneza 10,000 per day kwa mwezi ni kama 250,000/- hivi. Sasa je siku nzima anapopita huko kwingine anapata bei gani? Nilimuuliza akasema kilo ya karanga ni 3,000/-
brother bado ujanijibu ume lete picha linguine tena sawa kwanin wew ucache kazi ufanye biashara ya mahindi maana unalipa sana kuliko kazi yako unayo fanya maana czani kama siku unatengeza 90000
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
16,852
Points
2,000

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
16,852 2,000
Inawezekana ni stori au ni uhalisia. Kuna dogo anauza karanga. Kijiweni kwetu kila siku jioni saa 11 anapita tunanunua karanga minimum 3,000/- hio ni meza yetu tu. Hapo kijiweni kuna ofisi jirani kabla ya kuja hapo kwetu kila siku namuona ameweka kambi geti la hio ofisi anawauzia wafanyakazi wa hapo. Huwa anakaa hapo si chini ya nusu saa ndio anakuja kijiweni kwetu. Inawezekana kabisa hapo kwenye hio jioni ofisi na kijiweni kwetu anatengeneza 10,000 per day kwa mwezi ni kama 250,000/- hivi. Sasa je siku nzima anapopita huko kwingine anapata bei gani? Nilimuuliza akasema kilo ya karanga ni 3,000/-
Karanga zake bila shaka ni tamm pia,.
 
Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
3,310
Points
2,000

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
3,310 2,000
Wewe tuu sijui muiraq wako kakuteka bado..Hahah

Utam wa ngoma uingie ucheze mwenyewe...haya mambo ya kusimulia hayaaa.. mmh
Ndio kijiwe changu cha kupiga soga kimekuwa: hahaha hapa penyewe ndipo nilipo:

Mwanzoni mwa mwezi unaokuja hata usijali
mndele
 
Forum statistics

Threads 1,353,873
Members 518,398
Posts 33,083,533
Top