Mtaalamu wa migodini: Hayo makubaliano hayapo kisheria, hakuna kitakachobadilika tumepoteza muda bure

wengi wetu ni washangiliaji, sina mpango wa kuongeza mshara jibu hapo ni ndioooo, nitaongeza mshahara jibu hapo ni ndiooo,zizungumzii katiba jibu hapo ni ndiooo,hata ikisemwa ninataka katiba jibu linatakiwa kuwa ndioooo hiyo ndio adabu na uzalendo
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu maana ile mijitu ya Lumumba ilikuwa tayari imeanza kushangilia mafanikio yasiyokuwepo. Mijitu hii ni ya ajabu sana.
 
Pamoja na nchi hii kuwa na kichwa maji 75% bado tuna vichwa vichache vyenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele!!!Shida ni hizi kichwa maji 75% kutokuheshimu hawa watu na kukubali vocha na 7000 kuja kwenye mitandao na kuropoka!!!
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?

Asante kwa ufafanuzi mzuri. Kuna watu wanashangilia ujinga, inasikitisha sana. Hata Accacia wenyewe wametoa press kusema tulichokubaliana na Barrick bado ni "subject to desicion" ya board yao ya wakurugenzi. Je wa kikataa mapendekezo yote au wakata marekebisho? Kama unasoma kati ya mistari utagundua kwamba bado ngoma ni mbichi sana. Hata hicho kiduchu tulichoahidiwa kinaweza kisiwepo.

Mungu wabariki Watanzania(maana umeshaibariki Tanzania).
 
Mpe polesana Lisu usisahau kumwambia wale aliosema watatushtaki wamekubali kutulipa. Ivi tunavyo andika JPM ndio habari ya mjini.
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?
Kama mazingira yalikuwa hivyo si bora sasa maana Itakuwa kwa mujibu wa mkataba.
 
Taaluma ya aliyeandika haya haina mashiko wala haiisaidia TZ. Nilitegemea aoneshe baina yapi ya kimsingi yaliyokubaliwa ambayo hayapo kisheria na vilevile kutoa mwanga kwa Watanzania tusiokuwa na utaalam wa madini kuwa nchi ilitakiwa au inatakiwa ifanye nini ili tuweze kunufaika na faida inayotokana na biashara ya madini badala yake unapiga porojo za kijinga tu. Sheria mpya ya madini inataka Tanzania imiliki 16% ya hisa katika biashara ya madini, inataka pesa zote zinazotokana na biashara hii ziwekwe kwenye mabank ya ndani ili zisaidie kukua kwa uchumi kutokana na kuchangia katika mzunguko, inataka tofauti zote kati ya pande mbili zitatuliwe na mahakama za ndani tu, Tanazania inakuwa mbia sasa kwenye biashara hii na zaidi faida iatakuwa pasupasu kwa sasa. Kwa ufupi Barrick wameafiki kwa aslimia miamoja kutekeleza yote yaliyomo kwenye sheria mpya ya madini, sasa wewe unaleta upuuzi wako hapa kuwa makubaliano haya si ya kisheria unamaana gani kama yale yote yaliyomo kwenye sheria mpya ya madini wamekubali kuyatekeleza. Wewe kama ulikuwa mmojawapo wa senior leader ulilisaidia vipi taifa hili, ukaangalia maslahi yako binafsi ukaenda kufanyakazi nje then len unaleta ujinga hapa. Watanzania msiwe mnashabikia tu mambo ya kipumbavu, Kikwete aliwaambia ukiambiwa changanya na akili zako, je ninyi hamkusikiliza zile hotuba jana na kuzichambua kwakutumia akili zenu na kufikia pahali kuona kuwa je ni kweli nchi itanufaika au la?

Mkuu..
Tunaomba ujifunze tena uandishii..
Hivi mlisoma shule ganii enzi zenuu..??
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?

Umeeleza experience yako kwenye eneo la uchimbaji wa madini na umejitahidi kuonesha unachofahamu. Ukweli ni kwamba kiini cha mazungumzo yale kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni kupitia utekelezaji wa makubaliano ili ku- enforce implementation. Haitoshi tu kusema hiki na kile kilikuwepo lakini kama utekelezaji wake ulikuwa haufanyiki ni kazi bure ilihitaji kurudi kwenye drawing board na ndicho kilichofanyika
 
daah watu mnahangaika hamkubali kushindwa ingawa mmeshashindwa katika hili na mshindi ni JPM na serikali yake.
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?
Ni kweli hayapo kisheria ndio maana yanatengenezewa utaratibu wa rasmi wa kisheria.
 
Uzuri ni kuwa kaongea mengi ila hajatoa pendekezo hata moja ya nini kilitakiwa kifanyike.
Mwisho wa siku anabaki kuitwa mpiga ramli tuu,kama hawezi kutoa mapendekezo atuache tuendelee na safari yetu.

Mkuu mtoa post ametoa uchambuzi wake, mbona hukujibu hoja alizotoa. Wewe kama GT wa Jamiiforums toa maoni yako mkuu, badala ya kumlaumu mtoa hoja kwanini hajatoa mapendekezo. Mkuu acha kupenda dezo dezo umepewa chakula na unataka ulishwe vile vile.
 
muyabi joseph:
Kuna mambo umeyaandika hapa ambayo hayapo kwenye sheria yoyote, nq hayapo sawa. Yawezekana kuna mahali hukuelewa au hukusikia vizuri:

1) Hakuna mrabaha (royalty) wa 16%, iwe kwa sheria ya zamani au iliyopitishwa hivi karibuni. Sheria iliyopitishwa hivi karibuni mrabaha ni 6%.
Rejea kilichokubaliwa kwamba Serikali itakuwa na hisa 16% na mrahaba ndio unaongezeka hadi 6% ilivyo kwenye sheria.

2) Kuhusu ofisi, nadhani alimaanisha operations offices.
Hapo umeelewa

3) dola million 300 zitalipwa in good faith ina maana hakuna kosa lililothibituka kufanywa na Acacia. Siyo sahihi kusema ni malipo ya kuanzia.
Sawa kabisa

3) Hilo la ujenzi wa barabara halipo. Lakini kama sehemu ya social responsibility, kampuni itaendelea kusaidia jamii zinazowazunguka
Makubaliano katika ngazi ya Kampuni kubwa kama Barrick na Serikali, hakika ni sheria. Kila upande una hadhi kubwa ya kulinda.

4) Hilo la kusema watahusika na dhahabu, copper na silver pekee yaliyobakia yatakuwa mali ya Tanzania, tunataka kujiridhisha kwa ambacho hakipo. Nimefanya kazi katika migodi hiyo, zaidi ya hayo madini hakuna mengine ambayo yapo katika economic concentrations. Sharti hilo Barrick wamekubali kwa sababu halina athari yoyote kwao.
Unaweza kuwa umesema kweli, ila tukuamini wewe, uliyefanya kazi migodoni na hujasema kwa nafasi gani, au wataalamu wa jiolojia waliobobea wajafanya vipimo na kugundua kuwepo na kiwango kikubwa cha madini mkakati km lithium!!

5) Kuajiri na kuwafundisha watanzania, tangu makampuni haya yaanze, imekuwa ndiyo sera inanyoyaongoza. Hayo yamekuwepo wakati wote, ndiyo maana sasa hivi kuna watanzania kwenye senior managent positions. Mimi nilianza kwenye makampuni haya nikiwa junior geologist, nikapanda mpaka kuwa country manager. Nikaenda kufanya nje, nikiwa project manager, na chini yangu kukiwa na expatriates 71. Kwa hiyo ni kitu ambacho kimekuwepo. Na watanzania wengi walio na uwezo na nidhamu, wamepanda, na wengi wapo nje ya Tanzania.

6) Kutolala kwenye premises za kampuni sioni kama ni kitu cha kumsaidia mfanyakazi. Hiyo inamsaidia mwajiri. Inampunguzia gharama za kumhudumia. Pale Buly Barrick walitaka sana wafanyakazi wote wakae nje ya mgodi, tulio wengi, hasa tuliokuwa kwenye senior positions tulikataa.
Sijui wewe ulipokuwa mtumishi huko ulikuwa unaishi migodini au la, ila thamani ya mtu ni utu na utu ni kuwa na makazi yako na siyo kambini.

7) Kazi zote kufanywa na kampuni za kitanzania. Hilo limekuwepo wakati wote. Sera inayoongoza kwenye makampuni haya kufuatia sera ya madini 2010 ni kwamba kunapokuwa na kazi, priority ya kwanza ni kampuni zilizomo ndani ya wilaya, kama hakuna unatafuta kampuni iliyomo ndani ya mkoa, kama hakuna, kazi inakuwa open kwa kampuni yoyote iliyopo Tanzania, ikishindikana unatoka nje ya Tanzania.
Labda ungeeleza ni kazi zipi Watanzania wanapewa kwa sasa ili hoja yako iwe na nguvu. Siamini timu ya majadiliano ingeliliona hilo ni suala la kuingia makubaliano!

Mengi yaliyotajwa kwa wasiofahamu wataona ni mapya, lakini yalikuwepo siku zote. Jipya ni hilo la kugawana faida 50/50. Nalo hilo siyo la kupigia vigelegele. Huko Mwadui tulikuwa na 50/50 lakini mpaka leo tumepata nini.
Yawezekana hoja yako ikawa na uzito, ila historia hiyo mbaya ya Mwadui ndiyo imefanya kuwepo na majadiliano kuhusu shughuli zote za madini kufanyika nchini ikiwa ni pamoja na kuweka pesa benki za hapa nchini.

Wengi wasichofahamu, makampuni haya hayapati faida kubwa kutoka kwenye mauzo ya dhahabu bali wanapata faida kubwa kutrade shares. Production inalenga kuwapa confidence shareholders ili shares ziweze kupanda. Mathalani kabla ya Brexit hisa za Acacia zilikuwa na thamani kama ya dola 2.5 hivi. Baada ya Brexit zilipanda mpaka kufikia dola 5. Walioamua kuuza hisa zao walipata faida ya 100%. Wewe kama unasubiria faida ya 50/50 unaweza kusubiri mpaka uchoke. Serikali itamiliki 16%, je tutakuwa tunauza hisa na kununua?
Barrick ni kampuni kubwa ya kibiashara hivyo kuuza hisa ni jambo la kawaida. Serikali zote duniani hazifanyi biashara ila uweka mazingira rafiki kwa wafanya biashara. Hivyo basi, Serikali imedhamiria kulinda rasmali zake kwa faida ya wananchi na siyo kufanya biashara.

Return Of Undertaker, nikupongeza tu kwa jinsi ulivyojenga hoja na kwamba ghafla umekuwa mtaalamu wa madini. Lakini kumbuka ni dhambi na aibu kwa Mtanzania, kama wewe kubeza matokeo ya majadiliano hayo, ikizingatiwa muda, gharamacna aina ya wataalamu waliohusika. Ni jambo la kujivunia na kuwapa pongezi wajumbe wa Kamati yetu ya majadiliano.
 
Further more,acacia hawajakubali makubaliano kati ya tz na barrick,hvyo nao wamesema mpaka wakae watoe approval ,wazungu wana ujanja fulanii hv hawa jamaa wacha kabisa
Pia sikuelewa pale nchi inapokea 16% shares na pia inapata faida 50%,hii sjui imekaaje wenye ujuzi wa biashara naomba wanijuzee ,mi naona tutapata bingo nene vile.. umiliki 16% + faida %...yaan major shareholder 84% akufanyie kazi then faida mgawane a half !!!!!
 
Attachments

  • IMG-20171020-WA0000.jpg
    IMG-20171020-WA0000.jpg
    66.9 KB · Views: 21
Barrick ni kampuni kubwa ya kibiashara hivyo kuuza hisa ni jambo la kawaida. Serikali zote duniani hazifanyi biashara ila uweka mazingira rafiki kwa wafanya biashara. Hivyo basi, Serikali imedhamiria kulinda rasmali zake kwa faida ya wananchi na siyo kufanya biashara.

Return Of Undertaker, nikupongeza tu kwa jinsi ulivyojenga hoja na kwamba ghafla umekuwa mtaalamu wa madini. Lakini kumbuka ni dhambi na aibu kwa Mtanzania, kama wewe kubeza matokeo ya majadiliano hayo, ikizingatiwa muda, gharamacna aina ya wataalamu waliohusika. Ni jambo la kujivunia na kuwapa pongezi wajumbe wa Kamati yetu ya majadiliano.

Mbona ameosnyesha kuwa amecopy na kupaste kutoka kwa Muyabi ?
 
Wahi sasa uwapelekee ushauri wako huu mapema, nchi inahitaji sana wasomi wajanja kama wewe. Wapelekee ushauri wako huu mapema. Tunahitaji sana watu wasomi kama wewe!
Humtakii mema mwenzako....inchi.haiitaji watu wenye uelewa kama hawa .,zaidi ataambiwa ni mpinga maendeleo na simzalendo na anashirikiana na wazungu .....
 
Back
Top Bottom