Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Usijali mkuu ukiona wanaonesha dalili za ambazo huzielewi usisite kunitafuta kwa msaada zaidi.....

Hahah wakiwa wengi utaniuzia mmoja unitumie hela ya bia....

Una kuku wa aina gani mkuu....
ahsante sana Mkuu!

Ninao Sasso aiseee
 
Dokta Samhani.

Kuna Taratibu Gani Mahsusi za Kisheria Zinazopaswa Kufuatwa Ili Kuanzisha Duka la Kuuza Dawa za Mifugo Hasa Kuku na Mbegu za Mazao Mbalimbali na Dhana Zingine za Kilimo na Ufugaji?
 
Dokta Samhani.

Kuna Taratibu Gani Mahsusi za Kisheria Zinazopaswa Kufuatwa Ili Kuanzisha Duka la Kuuza Dawa za Mifugo Hasa Kuku na Mbegu za Mazao Mbalimbali na Dhana Zingine za Kilimo na Ufugaji?
Mkuu utahitaji vifuatavyo ili kuwa na duka la mifugo

Site

Mtaji

VYETI VIFUATAVYO

Cheti cha dakatri wa mifugo aliesajiliwa (D.V.M)

Chet cha msaidizi enroled or enlisted

TIN

TRA LESENI

TFDA

TPRA

FIRE

VCT for veterinary facility

BRELA

NB: Kwa mahitaji ya cheti cha daktari wa mifugo tunaweza wasiliana
 
Hivi unawafuga kwa ajili ya nyama au mayai mkuu....
Hawa waliopo nataka wafike level ya kutaga( Ingawa Sasso Sio wazuri kwa mayai) ila kuna mtu alinishauri nichukue Sasso coz hata kuloirer pure ni adimu waliopo wamesha chakachuliwa sana so hawatofautiani kivile na Sasso!
 
Na kipindi nawachukua hawa sikua vizuri financially kwasababu huku kifaranga cha kuloirer 2500 Na lengo nichukue zaidi ya mia mbili so nikaona bora nichukue Sasso ambao huku kifaranga ni 1500@
 
Hawa waliopo nataka wafike level ya kutaga( Ingawa Sasso Sio wazuri kwa mayai) ila kuna mtu alinishauri nichukue Sasso coz hata kuloirer pure ni adimu waliopo wamesha chakachuliwa sana so hawatofautiani kivile na Sasso!
Kuroiler mbona wapo wazuri sana.... ninekurushia mchanganyo wangu PM naomba uutumie uone kama kutakuwa na mabadiliko yoyote mkuu....
 
Kulinganisha productivity kati ya kuroiler na kienyeji ni sawa na kulinganisha passo na range rover mkuu....

Kuroiler anawastani wa kutaga mayai hadi 200 kwa mwaka na kienyeji wanauwezo wa kutaga wastani wa mayai 40-50 kwa mwaka nadhani kuna utofouti mkubwa hapo....

So kwa ushauri wangu nakushauri uende kwa kuroiler unapatikana wapi?
Dr vipi kati ya hawa wanaojulikana kwa jina la kuku wa Malawi (australorp) na kuroiler ni wapi wenye kutaga zaidi mayai? Na pia hao australorp nitawapataje nikiwa Dar?
 
Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na mwisho aina nzuri ya kuku wa mayai!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu hizo taarifa zina ukweli Bata wako Resistance kwa magonjwa mengi tofouti na kuku.... Katika fani yangu hii ya utabibu wa mifugo sijawahi attend any case inayohusiana na bata..... But kuna magonjwa mawili hatari sana incase yakivamia shamba lako nayo ni Duck viral hepatitis and Duck viral enteritis Thou ni rarely sana kuvamia shamba...

Kwa ushauri wangu wangu ukibahatika kuanzisha mradi wako make sure uwe na good management katika suala zima la mabanda na vyombo vya chakula na maji katika farm yako hiyo ya bata na pia ukumbuke kuwachanja bata wako dhidi ya hayo magonjwa hapo juu.... Kila la kheri mkuu
MN
Chanjo zake zinaitwaje
 
Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na mwisho aina nzuri ya kuku wa mayai!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo vip,ni check whatsapp kwenye no 0762283253 apo kwenye banda nitakusaidia (Ramani za mabanda ya kila aina ya mnyama afugwae pia yanapatikana).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole kwa tatizo lako la kuku kuwa na utitiri hapo cha kufanya nunua dawa aina ya carbamate insecticide ambayo dukani hupatikana kwa jina la Sevin iko kwa form ya ungaunga wanyunyuzie mara mbili kila baada ya week 2 na tatizo lako litakuwa limekwisha mkuu.
Jaribu pia kuwasafisha na mafuta ya taa husaidia kuondoa utitiri machoni mwa kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom