theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,641
- Thread starter
- #281
Just twice a day mkuuMlo Mara ngapi maana hats USIKU naamka! Kwa kifupi napenda sana mbwa,hawa niliwakuta Sokoni wamezaaliwa na mama yao wasamaria wema wakasema hajaonekana siku mbili ikabidi waniuzie Mwenye banda walipo zaliwa