Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Dr vifaranga vimevimba karibu na macho na tumbo limejaa maji ukiminya HV ndo unahis kuna maji....itakuwa no tatizo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa dalili hizo inakuwa kutaja specific disease ambao umeshambulia viranga vyako mkuu kwa sababu kuna magonjwa mengi ambayo yana dalili tajwa hapo juu.... but nimekuja na haya magonjwa mawili yaweza kuwa Newcastle viral disease or Infectious laryngotracheitis but final nimekuja kwa Newcastle disease ndio inayoweza kuwa ni tatizo ukiangalia na umri hapo...

But kwa ushauri zaidi ningependa uchukue kifaranga mmoja wapo ukipeleke kwa Dr wa mifugo alie jirani nawe aweze fanya post morteum ambayo itakuja na specific disease ambayo itapelekea wewe kupewa dawa husika kwa ajira ya kuku wako mkuu.... But kwa kuanzia ningependa uwatenge hao viranga wenye hizo dalili ili kuepeuka uenezaji kwa viranga wazima karibu mkuu
 
Ahsante mkuu ngoja niwatenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lako mkuu liko physiologically zaidi... mara nyingi hii hutokea iwapo kuna kianzii na ng"ombe wanakosa malisho na maji ya kutosha... so ikitokea ng'ombe wamepata malisho na maji mengi kipindi cha neema kuna kuwa na physiological disturbance/overload ambayo hupelekea hayo matatizo....

so kwa ushauri wangu ni vyema ikifika kipindi cha kiangazi ni vyema kuuza hao ng'ombe wazee wote ili kuepuka more loss mkuu... karibu
Mkuu tuu shee idea, kipindi hicho majani yanakuwa machanga / lush pasture.pili yanakuwa na cyanide nyingi yanapokuwa machanga ,kumbuka madini kama sodiam,potashiamu, maginesium vinakuwa kwa kiwango kidogo sana ktk lush pasture.kwasababu wanakuwa wametoka kwenye uhaba wa malisho wanakula sana kwa wingi haya majani yanayoota na ambayo yanakuwa hayajakomaa.

Hivyo kuharisha ni must, effect ya cyanide unaijua, ukosefu wa sodium,potassium,na magnesium unafahamu effects zake.
Asante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuu shee idea, kipindi hicho majani yanakuwa machanga / lush pasture.pili yanakuwa na cyanide nyingi yanapokuwa machanga ,kumbuka madini kama sodiam,potashiamu, maginesium vinakuwa kwa kiwango kidogo sana ktk lush pasture.kwasababu wanakuwa wametoka kwenye uhaba wa malisho wanakula sana kwa wingi haya majani yanayoota na ambayo yanakuwa hayajakomaa.hivyo kuharisha ni must, effect ya cyanide unaijua, ukosefu wa sodium,potassium,na magnesium unafahamu effects zake.

kama nilivyosema hilo tatizo ;lipo ki physiologically zaidi and sikutaka kwenda deep kiivyo mkuu... kuhusu level ya cyanide katika majani machanga ni kweli tena huwa ipo katika kiwango kikubwa tu sawa na source nyingine za cyanide na effect kubwa ya cyanide husababisha low level of oxygen kwenye ubongo,moyo na misuli kama unavyojua baada ya kuliwa haya majani machanga baada ya ku digestiwa hutoa CN ambayo ina be absorbiwa katika GIT ambapo kwa hapo baadae huenda kuungana na ferric ion state ya cytochrome oxidase kutengeneza cyanide cytochrome oxidase complex ambayo ipo so stable ambayo hupelekea uzuiaji wa oxygen katika cell na hivyo cell kufa... ambao kwa hapo baadae hupelekea mnyama kufa.... na hapa labda uniambie mnyama hufa kutokana na respiratory system mkuu.....

kuhusu umuhimu wa magnesium ni co factor ambayo hutumika ku balance kiwango cha sodium na pottasium katika mwili ambapo bila magnesium pottasium haiwezi ku cross cell membrane kwenda ku balance kiwango cha pottasium
 
Mkuu,kwanini vifaranga vya bata ukiviwekea maji na pumba halafu maji yakaisha pumba zakabaki baada ya masaa kadhaa mf(10) ukawawekea maji tena wanakufa?@theriogenology
 
Sio bata tu hata hata kuku wanakufa sababu ukiloweka pumba inatabia ya kuvimba kama kala bila kunywa maji kwa muda muafaka itaenda tengeneza ka fundo atakapo kunywa maji patavimba na kubana thorax kupelekea kupumua kwa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu habari za kazi? Nashukuru kwa kujitolea kwako kutusaidia wanajamii wenzio.

Naomba nisaidie ndugu yako, nina kuku wangu mmoja anakikohozi cha muda mrefu sana, nimejaribu fluburn imegonga mwamba, kibaya imeanza kuambukiza na kuku wengine, naomba nisaidie nitafute dawa gani itakayokua msaada.
kuku wako wana umri gani mkuu? afu ningependa uende kwenye karatasi ya hiyo dawa uniandikie composition zake kama hutojali mkuu? na kama kuna dalili ingine and any death noted?
 
jaribu kuwatenga hao kuku waliopata kikohozi mbali na wengine.... hakikisha unazingatia usafi wa banda ..vyombo vya chakula na maji..... na ikiwezekana safisha banda kwa kutumia sodium hydroxide or sodium hypochlorite then wape dawa inayoitwa tylosin hope tatizo lako litakuwa solved mkuu karibu tena
 
Mkuu kuku wangu wana wiki 19 ni wa kienyeji pure, kuhusu composition naomba nikutajie kesho nikienda bandani, ni mbali kidogo nilipo kwa sasa.
jaribu kuwatenga hao kuku waliopata kikohozi mbali na wengine.... hakikisha unazingatia usafi wa banda ..vyombo vya chakula na maji..... na ikiwezekana safisha banda kwa kutumia sodium hydroxide or sodium hypochlorite then wape dawa inayoitwa tylosin hope tatizo lako litakuwa solved mkuu karibu tena
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu, be blessed
 
Mkuu kuku wangu wana wiki 19 ni wa kienyeji pure, kuhusu composition naomba nikutajie kesho nikienda bandani, ni mbali kidogo nilipo kwa sasa. Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu, be blessed
usijali mkuu tumia hiyo niliyokuambia hapo utakuwa umemaliza tatizo lako... but jitahidi kuzingatia usafi na kumbuka kuwatenga hao kuku waliougua mbali na hao walio wazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom