Mtaalamu wa mazoezi ya viungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa mazoezi ya viungo

Discussion in 'Entertainment' started by Enny, Jan 19, 2010.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hamjambo wana JF! Naomba kama kuna mtu ana program au michoro ya namna ya kufanya mazoezi ya mwili anisaidie tafadhari.

  Siwezi kwenda Gym kutokana na mazingira niliyopo nataka nifanye hapa hapa nyumbani.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naweza kuja kukufanyisha mazoezi nyumbani kwako? Kukupa michoro hapa nitamaliza bandwidth.
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unataka mazoezi ya eneo gani la mwili?
   
 4. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante ndugu, mimi nipo DRC (Congo) nipo maporini kwenye migodi ndio maana nimesema mazingira niliyopo siwezi kwenda GYM
   
 5. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nataka mazoezi ya kupunguza mwili
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kama ni binti naweza kuja tu maana nipo nami maeneo ya Cabinda!
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ngoja nimute mpwa ahariri afu nichangie
   
 8. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  I am very serious, please I beg you to be serious.

  Thanks
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,258
  Trophy Points: 280
  .
  We Enny ndio uko serious gani wewe, ungekuwa serious kweli si ungesha google.
   
 10. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nime google sijapata michoro ndugu yangu
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sender her URL links kuliko maelezo mengi ya kugoooooogle
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbona rahisi tu goma kula mfulilizo alafu tafuta mtu mkorofi mkope pesa ambayo uwezi kulipa wakati yy anaitaji jaribu hizi mbili kwanza ikishindikana nijulishe nikupe zingine
   
Loading...