Mtaalamu wa masuala ya kilimo

ceo soso

Member
Feb 15, 2021
7
6
Hello,

Kwa majina naitwa SOSOMA JAMES
Ni mtaalamu katika masuala ya kilimo niliyehitimu SUA.

Nina miaka 24 na niko na shida ya usikivu kwa mbali. Ninatafuta kazi katika masuala ya kilimo hasa uchunguzi na uzalishaji wa mazao mbalimbali mashambani.

Asanteni unaweza nicheki PM.
 
Kila la heri Msuaso.
 
Dah! Hiyo nayo changamoto maana hata tuliomaliza kitambo bado tunasota hatuna mitaji

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndiyo hivyo ndugu yangu,huwa ninawashangaa sana watu ktk nchi hii,utakuta mtu yupo kwenye system anakula Mshahara mkubwa halafu anamshauri mhitimu wa chuo kikuu kuwa ajiajiri mwenyewe, wakati huo unakuta mwingine ni Mzee na hataki kustaafu lkn akisimama jukwaani Anawaambia vijana kuwa wajiajiri,sasa unajiuliza swali hivi Mbona yeye hajaachia ngazi ili akajiajiri maana anao mtaji?!!!.Ishu ya kujiajiri ni nzuri lkn vijana wetu hawana mitaji na kwa Bahati mbaya Serikali yetu Haina mifumo mizuri ya kuwawezesha wahitimu wa vyuo kujiajiri.Km wenye mitaji wenyewe, yaani Watumishi waliokwisha kuajiriwa wanashindwa kujiajiri unadhani mhitimu wa chuo ataweza??.
 
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe..

Tatizo vijana wahitumu wa vyuo mnataka mkihitimu tu masomo muwe na mitaji bila kusota..

Tumia elimu yako na nguvu zako vizuri vikuletee mtaji hakuna njia rahisi
 
Utakuwa umefanya Jambo la maana sana km utashusha nondo zako hapa,kumshauri kijana wa Kitanzania aliyehitimu Chuo kikuu au hata cha kati namna anavyoweza kupata mtaji wa biashara kutoka kwenye kutokuwa na kitu.Karibu uwanja ni wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom