Mtaalamu wa masoko na Uhusiano wa umma

FEBIANI BABUYA

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
1,085
2,155
Naitwa FEBIANI BABUYA ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu Degree ya Masoko na Uhusiano wa umma/ Marketing and public relations kama unahitaji ushauri kwenye hilo usisite kunitafuta pia kama kuna mtu ana kazi kuhusu hiyo profession tunaweza tukaunganishana kwenye hilo pia ni mwandishi wa vitabu na hadithi kwa wale wanaopenda kusoma

Pia kama una watoto au mtoto unahitaji aivishwe kwenye masomo yake mbali mbali naweza kumfundisha personally kwani nimeiva vyema kwenye lugha ya kiingereza na kiswahili hivyo naweza kumsaidia mwanao akayapenda masomo yake pamoja na kumsaidia kupata ufaulu mkubwa kwa sababu ni mshawishi mzuri sana kitaalamu.

Karibuni sana.

Napatikana Dar es salaam

Mawasiliano #0621567672

Email: thomasibabuya@gmail.com
FB_IMG_16473605116695621.jpg
 
Back
Top Bottom