Mtaalamu wa kupima maji chini ya ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa kupima maji chini ya ardhi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Asante, Sep 15, 2010.

 1. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Kwa jamii yote ya JF.

  Natafuta mtaalamu wa kupima maji chini ya ardhi anayeishi DSM, kwa ajili ya kuchimba kisima kirefu, kama kuna mwanajamii yeyote anafanya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane kwa email hii hapa chini.

  Au kama unaye jamaa unamfahamu tafadhali naomba anwani yake.

  Asanteni sana.

  yosia1@live.com
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 512
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Wasiliana na mtaalamu huyo kwa email hii e_masasila@yahoo.com yupo hapo Dar.
   
 3. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Chona, Asante sana, nitawasiliana naye, pia niseme asante sana kwa wale wote walionijibu kwa email.
   
Loading...