Mtaalamu wa kuosha naye anapooshwa kikamilifu.........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Jamaa kazoea kuwarusha mabinti wa watu ukuta sasa naye anawaota hao warembo nao wakimrusha ukuta kwa kutumia dildo..........................lol...........................anadhani ni popo bawa..........................................kumbe hakujua mwosha naye huoshwa tu hakuna jinsia.......hapo hakuna kigeugeu..................akiwa usingizini anajikuta Muumba anamwuliza maswali ya kuwa........... hivi ingelikuwa yeye anafanyiwa huo unyama angelijisikiaje.................kwa hiyo analetewa ndoto jinamizi kila usiku akilala...........ili aipate laivu..............na sasa amechanganyikiwa.....................nafikiri bila kuacha haka kamchezo atataharuki hivi karibuni............................

unaonaje hapo?
 
Ni kweli mkuu,malipo ni hapahapa duniani!!

anarukaruka akifikiri yeye mjanja sasa amepatikana....................na hii ya kwake ni kila usiku anaipata laivu wakati wale waathirika wake wanakoroma bila zengwe..........
 
ndoto wakati mwingine huwa ni kweli, huyo jamaa huwa anatembelewa na jini mahaba ambaye anapenda kusodomise mana walishamuona anapenda huo mchezo
 
ndoto wakati mwingine huwa ni kweli, huyo jamaa huwa anatembelewa na jini mahaba ambaye anapenda kusodomise mana walishamuona anapenda huo mchezo

tiba yake ni nini?
 
hivi mbona nikinywa ulabu sioti ndoto??? mwambie alambe kiroba

ulabu ni nini? Kiswahili kinakua..............................na kiroba cha kitu gani?
 
ulabu ni nini? Kiswahili kinakua..............................na kiroba cha kitu gani?

Ruta usifurahishe jukwabana
hujui ulabu ni nini au kiroba ni nini
ulabu ni pombe yoyote iwe bia au whisky au gongo au mbege au banana
kiroba inaweza ikawa konyagi zile za pakti au pombe yoyote ambayo iko kwenye vipakti
 
mwambie akilala apake konyagi au valuu pale mahala na anywe kidogo, jini mahaba hasogei mahala penye harufu ya pombe
 
Back
Top Bottom