sanga misuka
Member
- Aug 24, 2017
- 38
- 42
Naomba kujua vp nikichanganya unga wa mdalasini na asali halaf nalamba... Kuna faida gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HABARI NZURI KWA WA WATANZANIA PAMOJA NA WAHANGA WA TATIZO LA MIGUU NA MIKONO KUWAKA MOTOMkuu umecheki sukari ipo sawa??
Dawa ya maumivu makali ya kiuno nyuma ya mgongo. maeneo ya nyonga kwa mwanaume.. ni makali sana anapafa binamu yangu hadi kaambiwa astop sex kwa muda hadi? apone je atapona lini kwani mke, wake ana muhitaji.. nisaidie please jamani binamu yangu anateseka sana kwa maumivu hayo ...
Naomba kujua nini kinasababisha uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na namna kutibu ugonjwa huo
Jaman mwenye maelezo kuhusu hayo maumivu mwenyew naona kuna maumivu yameanza,nin dawa yake na nin kinasababbisha.
The best thing to do anywe quality amount of water that's it coz hata meds anapatiwa ziko zikifnya kazi ya kustimulate ADH ili apate kutake in a lot of water daily.
It's Dr.D
Shkamoo doctor. Ninaishi na asthma tangu kuzaliwa huwa natumia triam injection nakaa miezi nane bill kuugua lakini nableed Sana mwezi was Kwanza baada ya kutumia Hadi siku 16 nifanyeje. Bill kuichoma swez kuishi pia alienianzishia tiba alinipa madawa mengi mno hivyo vidonge hunikataa mileleNasumbuliwa na kidneystones imeshanisumbua muno. Nisaidie
Doctor umeenda wapi mbona hujibu au ubize ume zidiShkamoo doctor. Ninaishi na asthma tangu kuzaliwa huwa natumia triam injection nakaa miezi nane bill kuugua lakini nableed Sana mwezi was Kwanza baada ya kutumia Hadi siku 16 nifanyeje. Bill kuichoma swez kuishi pia alienianzishia tiba alinipa madawa mengi mno hivyo vidonge hunikataa mileleView attachment 1236683
PichaShkamoo doctor. Ninaishi na asthma tangu kuzaliwa huwa natumia triam injection nakaa miezi nane bill kuugua lakini nableed Sana mwezi was Kwanza baada ya kutumia Hadi siku 16 nifanyeje. Bill kuichoma swez kuishi pia alienianzishia tiba alinipa madawa mengi mno hivyo vidonge hunikataa mileleView attachment 1236683
Habari doctor,Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.