Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Uzi huu ni wa muda mrefu hapa jamvini lakini ni muhimu uendelee kua hai. Ahsante sana doctor kwa moyo wako mkunjufu na kwa kujitolea kwako kwa manufaa ya wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninatatizo docta yani ikifika asubuhi saa12 asubuhi nikiwa mkojo umenibana yani tumbo linakuwa linauma sana halafu mbele kwenye uume ndani ya ule mrija wakutoa mkojo kuna viuvimbe kama vile vinyama vya maji nilienda hospitali kupima ultra sound wakasema cna uvimbe cjui nifanyeje docta
 
Docta mke wangu amejifugua na ana week tatu mpaka sasa alinambia kuwa ana hamu ya kufanya tendo la ndoa maana alikuwa amekauka tayari sasa nimejisahau nikamwaga ndani je upo uwezekano wa kupata mimba kwa kipibdi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nakushukuru kwa niaba ya jamii kwa msaada wako kwayo hasa ktk ukurasa huu adhimu wa tiba.
Mkuu naomba msaada wako, nawashwa sana mwili na kuna mapele makubwa makubwa magumu yameniota sehemu mbalimbali za mwili.
Nimetumia dawaza hospitalini za kumeza na sindano lakini nafuu yake ni kudogo.
Hii hali ina wiki 3 sasa tangu inianzi ila yakianza kuwasha najikuna hadi najijerui kwa kucha.
Sizikumbuki dawa zote nilizotumia ila natamani kugeukia mitishamba labda huko kutakuwa na nafuu ya mapema.
Naomba ushauri wako. Natanguliza shukrani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole na kazi Doctor..nina tatzo la miguu inakua inatoa magamba napokua nimevaa viatu kwa muda mrefu..sio mguu mzima i mean sehem ya chini ya kanyagio na pembeni( coverage ya magamba inayotokea ni eneo tu la mfano wa soksi fupi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Docta Nijib yani ninapata shda maana nikiamka hasubuhi mkojo ukiwa umenibana tumbo linauma kana kwamba kwenye kibof kuna uvmbe au kidonda na ila nikikojoa tu maumivu yanapungua na kwenye uume huku mbele kunakama viuvimbe vya vinyama vya maji
 
Habari Dokta, Tatizo Langu ni kuhusu vitu au vinywaji vyenye Sukari, Nikinywa au nikitumia Vit t vyenye sukari Napoteza kuona kuona vizuri na Mwili unakua Mlegevu/nakua na Uchovu,..Nimepima sukari Nimeambiwa Ipo Kawaida,,
 
Mkuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nakushukuru kwa niaba ya jamii kwa msaada wako kwayo hasa ktk ukurasa huu adhimu wa tiba.
Mkuu naomba msaada wako, nawashwa sana mwili na kuna mapele makubwa makubwa magumu yameniota sehemu mbalimbali za mwili.
Nimetumia dawaza hospitalini za kumeza na sindano lakini nafuu yake ni kudogo.
Hii hali ina wiki 3 sasa tangu inianzi ila yakianza kuwasha najikuna hadi najijerui kwa kucha.
Sizikumbuki dawa zote nilizotumia ila natamani kugeukia mitishamba labda huko kutakuwa na nafuu ya mapema.
Naomba ushauri wako. Natanguliza shukrani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app[
Je umetizamia kama una allergy na kitu yoyote maybe ??
 
Habari Dokta, Tatizo Langu ni kuhusu vitu au vinywaji vyenye Sukari, Nikinywa au nikitumia Vit t vyenye sukari Napoteza kuona kuona vizuri na Mwili unakua Mlegevu/nakua na Uchovu,..Nimepima sukari Nimeambiwa Ipo Kawaida,,
Hiyo ni kwamba ukipata vinywaji vyenye sugar example coffee inasababisha swelling of the lens ambayo inakufanya update muono hafifu kuliko kawaida also inkufnya uchoke,upate kichefuchefu na appetite kubadilika na all of the above inasababishwa na increased sugar in your blood mr.so due to fluctuation of sugar in your blood the above signs and symptoms occurs
 
Mm napenda kuuliza swali langu hili.
Jee kuna dawa ambay inaweza kunisaidia kwenye tatiz la U T I maana kiuno kinanisumbua na wakat napima nimeambiw nna U T I .NAOMBA KAMA KUNA DAWA NZUR
habari
Habari;
UTI can only be treated by taking a lot of water atleast 8 litters per day and avoid kukaa na mkojo for a very long time .hatakama ukipewa dawa hospital example CROTRIMAZOLE utahisi yenyewe ndiyo inakuponyesha but inachofanya inaenda kustimulate ADH (adenocorticotrophic hormone) ambae inakusababisha ww unywe maji mengi na ya kutosha.
By Dr.D
Give me answers when you get well.
 
U.T.I ni infection ya mirija ya mkojo. kama daktari alikupima na kweli unayo tatizo hilo, Basi nitakushauri hivi:
  1. Dawa Amoxiclav 500mg kutwa mara mbili kwa siku 7. (Hii dawa unaua vimelea na kuondoa maambukizi)
  2. Dawa Cital (Hii dawa itakusaidia kuondoa maumivu kwenye mirija ya kukojoa)
  3. Kunywa maji mengi kama lita 3 au 4 kila siku (unapokunywa maji unapunguza idadi ya vimelea)
Asante
The best thing to do anywe quality amount of water that's it coz hata meds anapatiwa ziko zikifnya kazi ya kustimulate ADH ili apate kutake in a lot of water daily.
It's Dr.D
 
Dr. ninaomba utoe ushauri wa matibabu mbadala ya Multinodular Goiter bila kufanya Operation. Nasikia ziko Natural Therapy zinamaliza kabisa Goiter. Hata mwana JF ambaye ameshapona Goiter au ndugu kwa diet au dawa za asili ninaomba atusaidie tuna ndugu ana tatizo la Goiter imegundulika wiki tatu zilizopita na iko katika stage za awali. Bado kujitokeza kwenye shingo.
 
Back
Top Bottom