Africa one
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 244
- 111
Msaada:
Nina mtoto ana umri wa miaka saba anasumbuliwa na vipele mwili mzima amejaribu dawa nyingi za hispitalini lkn hazijamsaidia na ana kama miaka miwili sasa vinamsumbia.
Mara nyingi vinakuwa kama chunusi hivi haviwashi wala havitengenezi usaha kama upele wa kawaida lkn vimekuwa haviponi akijatibu kuvikamua vinatoa vidude vyeupe km chunusi na vunakuwa vinatanda mwilini kama ulezi vile, haijalishi ni wakati wa joto au baridi maana mwanzoni nilidhani ni vipele vya joto kwa kuwa nakaa Dar es salaam lkn hata wakati wa baridi vimekuwa tatizo.
Ametumia dawa tofauti tofauti mda mrefu sasa bila mafanikio hadi sasa namuonea hutuma.
Naomba msaada wa tiba au shauri namna ya kufanya hata kama ni kwa daktari unaweza nielekeza kwa hospitalini Amana nimetoka juzi tu nilivyowaonyesha dawa alizowahi kutumia wakasema na wao wangempa hizo hizo ndipo wakanipiga tarehe hadi tarehe 10/10/2018 kumwona Daktari lakni kama kuna mbadala kabla ya tarehe hiyo naomba msaada.