Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa Dr. Mimi binafsi, wife anasumbuliwa sana na fangasi sehemu za siri, ni tatizo linalojirudia mara kwa mara na la muda mrefu, yapata miaka 4 sasa.
Alishafanya vipimo hospitali tofauti tofauti anapewa dawa anatumia vizuri kwa maelezo ya daktari lakini baada ya muda tatizo linajirudia tena.
Kukumbuka ni aina gani ya dawa alizokwishakutumia ni ngumu ila kuna alizokuwa anameza na zingine anaweka sehemu husika.
Nategemea msaada wako Dr.
maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
· Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
· magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
· wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
· upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
· matumizi ya vidonge vya majira
· msongo wa mawazo
· kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
· matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
· kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
· kuwashwa sehem za siri
· kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
· kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
· kupata vidonda ukeni (soreness
· kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
· kupata maumivu wakati wa kukojoa
· kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
· Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
· epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya
· kula mlo wenye virutubsho muhimu
· epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
· osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
· epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
· tumia ped na pantiliner zenye anions chip zenye uwezo wa kufyonza haraka zenyewe zinaitwa NEPLILY SANITARY PADS ambazo mara nyingi hazipatikani madukani, hvyo basi tujulishe tuweze kukutumia pale ulipo.
· kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni nakushaur utumie lady intimate sabuni ya asili isiyo na kemikal na inayoboresha uke wako .
Kwa ushauri na matibabu wasiliana
 
Nauona msaada mkubwa kwako kumaliza tatizo la wife. Naomba njia za kuwasikiana nawe.
Pia naomba kuuliza swali jingine. Je kujamiiana na mgonjwa kama huyu kunauwezekano wa mwanaume kuambukizwa? Kama ndio dalili ni zipi kwa mwanaume?
Nashukuru kwa kunijibu pia nategemea utanitumia njia nzuri ya mawasiliano. Asante.
 
Ndio mwanaume ni rahisi sana kuambukizwa
Na dalili zake huadhiri uume na kuwa na dalili kama UTI
Kwani anatumia dawa kwa mda gani
 
maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
· Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
· magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
· wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
· upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
· matumizi ya vidonge vya majira
· msongo wa mawazo
· kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
· matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
· kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
· kuwashwa sehem za siri
· kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
· kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
· kupata vidonda ukeni (soreness
· kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
· kupata maumivu wakati wa kukojoa
· kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
· Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
· epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya
· kula mlo wenye virutubsho muhimu
· epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
· osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
· epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
· tumia ped na pantiliner zenye anions chip zenye uwezo wa kufyonza haraka zenyewe zinaitwa NEPLILY SANITARY PADS ambazo mara nyingi hazipatikani madukani, hvyo basi tujulishe tuweze kukutumia pale ulipo.
· kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni nakushaur utumie lady intimate sabuni ya asili isiyo na kemikal na inayoboresha uke wako .
Kwa ushauri na matibabu wasiliana
Dr asante sana maana nilikuwa sifahamu mengi sasa nimejua ila mi hapo nimeona mdudu anayesababisha (fungal) pia anasababishaje na mazingira yanayopelekea mtu kupata fungal infenction ila umesema wapo wanaosababisha maambikizi ya kudumu na yasiyo ya kudumu na ukasema ni candida albicans sasa basi vepe wale watoto wanaozaliwa yaan under 5 years wanapata yale mabarango ya kichwani hayaishi na nn dawa yake maana dawa nyingi zinadunda kuna moja ameandikiwa na daktari cotrimazole cream haojamsaidia grisiofulvine nayo hamna kitu ila kasema kuna anayesababisha fungus ya kichwa yaan tinia capitis nieleweshe atumie dawa gani apone?
 
The leading antifungal medications for ringworm are griseofulvin (Grifulvin V, Gris-PEG) and terbinafine hydrochloride(Lamisil). Both are oral medications that you take for approximately six weeks.
Both have common side effects, including diarrhea and upset stomach
 
Dr. tatizo la muwasho mwili mzima halafu ukipakwaruza mpaka damu inatoka lakin panawasha tu tatizo hilo huja na kuondoka inaweza ikawa ni nn kitaaluma?
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Hapa dawa gani ya ngozi nipake?
IMG_20180806_200042.jpg
 
Sorry doctor nasumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu huwa linanyonga na kuacha frequently na maumiv makali pia nitumie dawa gan?
 
Hi! Mimi huwa nasumbuliwa na tatizo kwenye mguu wa kushoto kwenye maungio kati ya nyonga na mfupa wa mguu unauma kuanzia kwenye nyonga mpaka kukaribia goti haya maumivu huwa yanaanza pale tu nikifanya kazi za kudeki au kubeba vitu vizito vinavyohusisha kuinama inama,..Hili tatizo lilianza nilivokuwa na ujauzito wa miez 7 mpaka sasa mtoto ana umri wa miaka 2 na miez 8 na jinsi mda unavokwenda ndo maumivu yanazidi mda mwingine nashindwa hata kusimama vizur, naomba msaada wa kujua shida ni nn na tiba yake, asanten.
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Hi! Mimi huwa nasumbuliwa na tatizo kwenye mguu wa kushoto kwenye maungio kati ya nyonga na mfupa wa mguu unauma kuanzia kwenye nyonga mpaka kukaribia goti haya maumivu huwa yanaanza pale tu nikifanya kazi za kudeki au kubeba vitu vizito vinavyohusisha kuinama inama,..Hili tatizo lilianza nilivokuwa na ujauzito wa miez 7 mpaka sasa mtoto ana umri wa miaka 2 na miez 8 na jinsi mda unavokwenda ndo maumivu yanazidi mda mwingine nashindwa hata kusimama vizur, naomba msaada wa kujua shida ni nn na tiba yake, asante
 
maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
· Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
· magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
· wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
· upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
· matumizi ya vidonge vya majira
· msongo wa mawazo
· kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
· matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
· kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
· kuwashwa sehem za siri
· kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
· kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
· kupata vidonda ukeni (soreness
· kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
· kupata maumivu wakati wa kukojoa
· kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
· Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
· epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya
· kula mlo wenye virutubsho muhimu
· epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
· osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
· epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
· tumia ped na pantiliner zenye anions chip zenye uwezo wa kufyonza haraka zenyewe zinaitwa NEPLILY SANITARY PADS ambazo mara nyingi hazipatikani madukani, hvyo basi tujulishe tuweze kukutumia pale ulipo.
· kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni nakushaur utumie lady intimate sabuni ya asili isiyo na kemikal na inayoboresha uke wako .
Kwa ushauri na matibabu wasiliana
Umemjibu mmoja lakini umewasaidia wengi sana dr. Naomba uni-pm namba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. naomba kujua ufahamu kuhusu ugonjwa wa Seli Mundu (sickel sell) na je unatibika, au kuna jinsi ya kujikinga mtoto asirithi.

shukrani.
 
Dactari habari za saahizi. Samahani sana mi naweza nimawa tofauti kidogo na maada inayo endelea.. Naomba kujuzwa kubusu madhara ya hii faea inayoitwa vumbi la kongo. Nimekua nikiitumia zaidi ya wiki sasa na imenirudishia heshima nyumbani kiukweli. Lkn nna wasiwasi huenda kiafya ikawa na madhara kutokana na kazi ambayo inafanya labda kwa miaka ya mbele huko. So naomba elimu kidogo juu ya madhara yake kwa sasa na kwa baadae... Asante
 
Faea* =dawa. Nimawa*=nikawa. Kubusu*=kuhusu
 
Back
Top Bottom