Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Habari za kazi Dr.
Kwanza nitangulize shukrani kwa ushauri wa dawa ya miwasho. Dawa nimeipata na naitumia kwa wiki sasa na nitakupa mrejesho wa maendeleo yangu baada ya mwezi 1 kama ulivyonielekeza.

LEO NAOMBA USHAURI JUU YA TATIZO LA MIGUU CHINI YA MAGOTI KUWAKA NA KUUMA. TATIZO HILI NINALO KWA MIAKA 2 SASA NA HALI INAKUWA MBAYA SANA NINAPOKAA KWA MUDA MREFU SEHEMU MOJA HASA WAKATI NIKIWA SAFARINI AU HATA KWENYE DALADALA.
MWAKA JANA AUGUST NILIENDA HOSPITAL NIKAPEWA NEUROBIN KWA MWEZI MMOJA PAMOJA NA AINA ZINGINE, NASHUKURU NILIPATA NAFUU KIDOGO ILA SASA HALI INARUDI TENA.
NAOMBA KUJUA HILI NI TATIZO GANI NA NAWEZA KUTUMIA DAWA GANI KULITIBU?
Asante sana.
 
Hbr Dr.
Madaktari wetu huwa hawana muda wa kuongea na mgonjwa na kudadisi kwa kina. Nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na malaria kwa karibu miaka kumi mfululizo, miaka hii miwili ukiwamo huu ndio siumwi sana. Sambamba na hill tangu 2002 ninasumbuliwa na Tumbo. Nilipima b/meal pale MMC mwaka huo, wakaona D-Cup is ulcerated. Nikatumia H/Kit. Hakukuwa na nafuu. 2004 Nikafamya endoscopy Serian Hospital Arusha, Dr. hakuona ulcers ila kulikuwa na inflamation sana tumboni. 2010 nikafanya tena endoscopy kwenye Private Hospita., Dr. Akasema kuna vidonda vingine vinaanza vingine vinapona akanipa dawa pamoja na sindano ya kwenye mshipa tatizo halikuisha. 2016 nikafanya tena endoscopy MNH, Dr. hakuona vidonda Ila Tumboni kuna inflammation sana. Kwa sababu ya kuwa na gesi nyingi sehemu ya chini ya kitovu pamoja na kukosa choo kwa hata siku tatu ameshauri afanye colonalscpy, hiki kipimo bado hajakifanya. Ameniambia nifanye Kipimo kingine urea breath test, nimetafuta hospitali zote DSM nzima hakuna hocho kipimo.
Tatizo nikipewa Yale madawa ya kuondoa gesi Mara nyingi yananisabisha kukosa choo. Pia nialiwahi kufanya kipimo cha Hpyroli majibu hayakuweza kuthibitisha uwe.
Aidha ninapata maimivu ya kiuno na chini ya kiunko mpaka kwenye matako. Mgongo mabega nayo yanauma. Nikirudi nyumbani huwa nalala kifudifudi kwa muda wa kama nusu saa mpaka saa moja ili kutoa gesi.
kwa wadudu hao. Hii ni historia kwa kifupi.

Naomba ushauri na mwongozo na sehemu sahihi ya kupata tiba.
 
Dr. Ninatatizo nikiamka asubuhi mwili unakuwa umechoka sana na iwapo nitafanya Sex usiku noo kabisa ninatatizo gani nisaidie
 
Dr. Hongera sanaa kwa kazi nzuli japo ni nzito ya kumjibu kila muuliza swali tena bure kabisa lakini pia usivunjwe moyo na wapinzani wako .
Dr. Hivi KELOIDS zinatibika kweli hapa Tanzania?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Dr please nisaidie: nina tatizo la sehem ya mwili kuwa ngumu (SUGU) mfano kwenye unyayo wa mguu na kidole kidogo cha mguu kwa juu sielew hili tatizo linatokana na nini na tiba yake ikoje DR NAOMBA UNIJIBU MIMI HUKUNIJIBU PLEASE
 
Habari za kazi Dr.
Kwanza nitangulize shukrani kwa ushauri wa dawa ya miwasho. Dawa nimeipata na naitumia kwa wiki sasa na nitakupa mrejesho wa maendeleo yangu baada ya mwezi 1 kama ulivyonielekeza.

LEO NAOMBA USHAURI JUU YA TATIZO LA MIGUU CHINI YA MAGOTI KUWAKA NA KUUMA. TATIZO HILI NINALO KWA MIAKA 2 SASA NA HALI INAKUWA MBAYA SANA NINAPOKAA KWA MUDA MREFU SEHEMU MOJA HASA WAKATI NIKIWA SAFARINI AU HATA KWENYE DALADALA.
MWAKA JANA AUGUST NILIENDA HOSPITAL NIKAPEWA NEUROBIN KWA MWEZI MMOJA PAMOJA NA AINA ZINGINE, NASHUKURU NILIPATA NAFUU KIDOGO ILA SASA HALI INARUDI TENA.
NAOMBA KUJUA HILI NI TATIZO GANI NA NAWEZA KUTUMIA DAWA GANI KULITIBU?
Asante sana.[/QUO
Duu nmi nina tatizo kama lako ila mimi ni nyonga zote ila zaid upande wakushoto nimesumbuliwa na tatizo tango mwaka 2011,
tatizo lilianza mara baada ya kupewa dawa aina ya doxaxlyne kutokana na tatizo la maumivu makali ya tumbo pindi niwapo period,
dawa niliambiwa nimeze 2x2 kwa cku nilipofika cku kama ya tatu hiv nyonga ya kushoto iliuma sana hadi nikawa cwezi kujigeuza kitandani wala kutembea bila msaaadaaa
nikaacha dawa zile nikaanza kutafta tiba ya nyonga ...
nimetumia dawa nyingiii na tofauti za hosptl na kienyeji napata nafuu ya muda mfupi tu then tatizo linarud

mwaka jana mwishoni tatizo lilianza tena maumivu yakawa makali kama ya mwazn ikabd niende tena kwa dr wa mifupa. nikapigwa x-rays na kuambiwa nina shida kwenye uti wa mgongo yaan upo very straight badala ya kubend na shingo vlevle imenyooka niliana matibabu kwa kutumia dawa kadhaa kama vile; pligabline,neurobin, flux... n.k 9samahan kwa kuandika dawa kimakosa c unajua fan za watu) na mazoezi juu, dawa nilianza kutumia tarh 4/1/2017 mpaka 3/2/2017 maana nyingi ni za cku 30.

ila baada ya hapo tatizo kama bado linajirudia maana kuna muda nahic maumivu makali
msaaada wako dr plz nifanyeje au nitumie dawwa gani ili nipone kabisaa? na je naweza kupata mtoto(kushka ujauzito) kwa tatizo nililonalo
 
DR nmi nina tatizo la nyonga zote ila zaid upande wakushoto nimesumbuliwa na tatizo tango mwaka 2011,

Kiongozi,

Mama yangu anasumbuliwa na fangasi sugu yaani ziko mguuni, zinatoka maji na baadaye vidondo vinavyopelekea mtoki, kwakweli msada wako unahitajika Sana.

Aliwahi kwenda hospital wakapandikiza zile nyama za fangasi lakini wapiii, zinakuja na kupotea.

Msaada wako.
 
Dawa ya fangasi wa sehemu za siri walioingia mdomoni au kwenye ulimi na kuleta hali kama mtu aliyeungua uji au chai kwenye ulimi lakini hakuna maumivu hata kidogo.
Na wewe hao fangasi wamekuingiaje mdomoni.......shuwaini.......nyie ndio mnafanya magonjwa hayaishi kwa kuyaamisha kutoka sehemu za siri kuja mdomoni.....sasa unaona fedheha ya starehe za kulambana sehemu za siri especially za mwanamke
 
Naomba nisaide haya matatizo dokta.
1)Kunuka mwili/ngozi hata kana umeoga kwa mda huohuo.
2)uke kutoa harufu mbaya hata ukisafishwa muda huohuo.
 
Na wewe hao fangasi wamekuingiaje mdomoni.......shuwaini.......nyie ndio mnafanya magonjwa hayaishi kwa kuyaamisha kutoka sehemu za siri kuja mdomoni.....sasa unaona fedheha ya starehe za kulambana sehemu za siri especially za mwanamke
Aaaaaah jibuu zuri mkuuu
 
Kiongozi,

Mama yangu anasumbuliwa na fangasi sugu yaani ziko mguuni, zinatoka maji na baadaye vidondo vinavyopelekea mtoki, kwakweli msada wako unahitajika Sana.

Aliwahi kwenda hospital wakapandikiza zile nyama za fangasi lakini wapiii, zinakuja na kupotea.

Msaada wako.

Mkuu,

Kama ni tatizo la fangasi hakikisha kwanza unaosha miguu yake Na sabuni alafu kuisuza Na maji Na baada hapo kuipangusa Na kukausha na kitambaa au taulo.

Alafu atumie dawa hii:
- Terbinafine Tablets, Kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi moja.
- Terbinafine Cream, Pakaa dawa hii Kutwa mara mbili asubuhi Na usiku.

Hakikisha anamaliza dozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom