Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr Mke wangu anatatizo la ganzi ya miguu.na tatizo hili alilipata baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mkubwa.tulipoludi kwa dr aliyemfanyia upasuaji alimuandikia dawa lakini hazijamsaidia sana bado tatizo lipo tafadhar msaada wako dr.
 
Dr Mke wangu anatatizo la ganzi ya miguu.na tatizo hili alilipata baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mkubwa.tulipoludi kwa dr aliyemfanyia upasuaji alimuandikia dawa lakini hazijamsaidia sana bado tatizo lipo tafadhar msaada wako dr.

Tafadhali niambie dawa aliyomuwandikia kwaajili ya ganzi
 
Ushauri wangu:

1. Rabeprazole 20mg, Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
2. Punguza kula pilipili na vyakula vyenye pilipili au viungo vingi (spices).
Acha Hizo,Medication (Prescription) haifanyiki Kwa Kusikiliza Maelezo tu Mtandaoni bila Kuonana Na MTU na Kujua Physical exams,History yake Ndef Etc

Usidhalilishe Ethics za Kazi
 
Duh,mkuu tatizo lako km langu,nna miaka zaidi ya kumi linanisumbua,,kingine mi nikipata harufu Kali ya petrol au moshi was cigarette au either nguo mpya,nakohoa balaa,unaweza sema nakufa muda simrefu,ili nipate nafuu nikihisi nijiwai kupooza kwa kunywa maji ,msaada. Doctor
tupo wengi kumbe.nimetulia nisome majibu ya posti za wenzangu kwanza
 
Asante kwa furaha yako mkuu. Kwa tatizo hilo la Tinnitus, ushauri wangu ni yafuatayo:
1. Safisha sikio na ondoa uchafu yeyote ndani ya sikio.
2. Inaweza kuwa unachukua dawa inayosababisha hiyo tatizo.
3. Kuna watu wengine sauti ya pangaboi na A/C inasaidia kupunguza sauti ya Tinnitus.
4. Kwa kupunguza pombe, eneo yenye sauti nyingi na mawazo (stress) itasaidia kupunguza sauti.
5. Tafadhali chukua multivitamins yenye Zinc kama Zincovit, kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi moja.
dr.mbona tunashauriwa kutoingiza chochote sikioni na ni vema kwenda kusafishwa hospitali je hii imekaaje ajisafishaje?
 
Dr nakuomba kwa maelekezo yako uliyonipa na mizunguko niliyozunguka kwa matabibu nashindwa ni dr yupi ndio bingwa wa matatizo ya uzazi kwa wanawake naomba kwa msaada wako niambie nimuone dr gani au hospital gani ambayo naamini kwangu sasa itakuwa ni fainal
PROF MAJINGE DCMC DODOMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom