Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Nna tatizo la chunus nimeenda Hosp nimepew vidonge acnotin 10 na acne free cream nna siku ya 20 Leo ila machunus yamezidi uso haufai pia mi ni ni mweus basi ukiniangalia nimezidi kuwa mweusi Mara tatu yake je nikawaida au vipi?
 
Naomba nikutie moyo mkuu....ni kweli hiyo hali huwa inatukuta hasa kile kipindi cha ukuaji,binafsi hii hali ilinisumbua sana mpk nikaona kama ninamapungufu labda na nilijitahidi sana kutumia dawa nyingi bila mafanikio

Lkn mungu ni mwema nilikuja kupona hata sijui nilitumia dawa gani lkn nadhan ile hali ya ukuaji ilipokwisha na ile hali iliondoka yenyewe kwaiyo hata wewe nadhani hiyo hali itapotea kipindi ambacho hali ya ukuaji itakapo malizika ila kama ni mwanaume jitahidi ufanye mapenzi kwa kiasi flan
 
Back
Top Bottom